MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 299
- 240
Kwa kweli tuache mada za kulima kwenye vitabu. Mimi nina uzoefu wa kutosha katika kilimo hiki cha machungwa . Mbegu ambayo iko sokoni kwa sasa ni valencia na kama umejitahidi sana kuzaa ni Machungwa 1500 tena baada ya miaka 4 au 5 huo ndio uhalisia
Mkuu unauzoefu na matombo sweet?Uzaaji wake ukoje?