Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga .
Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka.
Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu huu, total loss!
Katika wachezaji walioleta dirisha kubwa na dogo ni wachache wameingia kwenye mfumo na matunda kuonekana.
2;yusuph kagoma ( naye pancha nyingi)
3;moussa Camara
4;Hamza Jr
Huyu hana goli wala assist.
2:Okajepha.( hili tapeli la kinaijeria)
3:valentine nouma( anakula mshahara wa bure)
4:Chomou karaboue( alifaa akacheze mieleka).
5;Valentino mashaka( anazidi kunenepa banch)
6;Elie mpanzu( hapa watafute cheating jingine mechi 5 hana kitu)
7:hussein abel ( huyu tangu Aletwe amekuwa akifua jezi badala ya kudaka)
8;Steve mukwala ( striker mzembe kuliko wote anazidiwa magoli mpaka na mabeki)
9;Edwin balua ( kwa sasa makalio yake yameacha alama pale banch)
10: Debora Fernández ( ukifananishwa na Aucho lazima Upotee uwe wa kawaida)
11: Kevin kijili (akili ndogo huumiza mwili)
Na magarasa mengine mengi tu yamejaa mule, mengi tu hayana kazi wala hayatumiki
Kiungo punda mzamiru
Kevin kijili
Ally salim
Saleh karabaka
Ladack chasambi
Hivyo kwa tathimini hii basi hawa inatakiwa waachwe hawana msaada wowote na simba wamepata hasara kubwa sana kama ile ya kufukuza wacheza zaidi ya 12 msimu ule ..
Wabadilike

1;Baunsa Ateba( japo ana goli za penati)WALIOPATIA.
2;yusuph kagoma ( naye pancha nyingi)
3;moussa Camara
4;Hamza Jr
1;JOSHUA MUTALE (kinda la miaka 22)MAGARASA.