Swahili_Patriot
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 358
- 831
Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk.
Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo Tanzania kama mataifa yeyote tu. Je, hii habari ni ya kweli au uzushi tu?
Basi naomba tuutathmini uhalisia kwa pamoja. Kwa Mtanzania atayesoma huu uzi, naomba utuelezee uko ulipo kuna kisa chochote ulichokiskia au mpo salama?
IG#swahili_alpha