Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka inaonekana hufuatilii mambo ya nchi yako vizuri, unasema Dengue haijathibitishwa kuwepo nchini?, dengue imetikisa na kuuwa watanzania wengi kuliko Corona mwaka mmoja uliopita, hadi sasa dengue ipo lakini imepungua sana, kama ilivyo malaria
Bahati mbaya sana sayansi haifanyi kazi kwa kutumia hisia za watu, wewe unahisi hivyo unavyosema kwamba kila kitu kipo wazi hakihitaji maelezo, Serikali na sisi watu wengine tunafuata kanuni za "Epidemiology" ambazo ndizo zenye kutoa muongozo wa wakati gani Serikali inapaswa kuamua kupima watu wake kwa lazima na wakati gani inakua sio muhimu, kwa sasa hakuna kigezo hata kimoja Tanzania cha kupima watanzania kwa lazima, sasa hivi Corona Tanzania ni Endemic disease kama malaria na dengue.
Mkuu wizara ya Afya haifanyi kazi kwa hisia, kwamba labda tungefanya hivi huenda hiki au kile kisingetokea, huko wanakopima mbina wanaenda kufa kila siku?.Kumradhi mkuu tunaandika humu tukiwa tunachapa kazi kweli kweli. Nilikuwa nikiandika na kusoma dengue mawazo yakiwa kwenye Zica ya binti Malecela. Ndiyo maana nilitumia neno kuthibitishwa kwa maana ile ile iliyosemekana Ebola kuwa nchini.
Mkuu we can agree to disagree.
Kuwapima watu Corona na kujua hali ya Corona katika nchi kungeokoa maisha ya watu wanaokufa na Corona ambao wasingekufa hivi.
Ingelijulikana hali ya Corona Dodoma mapema, wabunge wale labda na uzee wao au na kuwa magonjwa yao wangeepuka sehemu hatarishi.
Kwa hakika anayetupiga ban kwenda makwao anatusaidia kugutuka at our loss.
Mkuu wizara ya Afya haifanyi kazi kwa hisia, kwamba labda tungefanya hivi huenda hiki au kile kisingetokea, huko wanakopima mbina wanaenda kufa kila siku?.
Kazi za nchi lazima zifanyike kwa kitaalamu, lazima vigezo vya kupima nchi nzima viwepo ili kuruhusu matumizi ya tasilimali za nchi, kumbuka haya mazoezi yanahusisha matumizi ya pesa nyingi za nchi, lazima mwenyekuhidhinisha hiyo pesa awe na ushahidi wa kitaalamu, vinginevyo itaonekana ni ufisadi kama waliitaka kuufanya Lugola na Andengenye.
Taarifa walizonazo wizara ya Afya zinatosha na ni sahihi kufanya maamuzi wanayochukua sasa hivi, wewe ni mtu unayeishi kwa hisia sana, huwezi kuongoza nchi, hivi unaushahidi gani kama wabunge waliokufa walikufa kwa Corona kama sio kuhisi kwa hisia?, huko wanakopima mbona wanashindwa kuzuia vifo kwa maelfu kama kweli ukijua unaweza kuzuia vifo?, wacha kuishi kwa kubahatisha maisha.
Sasa kama vipimo na Postmortem ndivyo vyenye kuonyesha na kuthibitisha kama mtu ameambukizwa au amekufa kutokana na ugonjwa Fulani, hapa Tanzania hatupimi, wewe ulijuaje kwamba wabuge walikufa kwa Corona wakati hawakupimwa wala kufanyiwa postmortem examination?, ndio sababu nikakwembia wewe ni mtu wa kuhisi na kusika huna fact zozote.
Katika nchi zote zilizopigwa marufuku kuingia EU, 99% ni zile ambazo zinapima kwa kiasi kikubwa cha raia wake, wewe hilo la kusema ni nchi zisizopima umelitoa wapi?, wacha longolongo tumia facts.
Nchi zote zinazoongoza kwa vifo vingi vya Corona duniani ni zile zinazopima watu wake kwa wingi sana, Marekani imepima watu karibia 6M, lakini idadi ya vifo ndio inazidi kuongezeka kila siku, na huenda hili likachangia sana kuanguka kwa Trump katika uchaguzi ujao, wewe unaposema wenye kupima wanazuia vifo,Tafadhali tupe mifano, wacha kutumia hisia. South Africa inaongoza kwa kupima hapa Africa, lakini ndiyo inayoongoza kwa vifo.
Huna mifano wala ushahidi wa kuthibitisha unayoyasema zaidi ya kutumia hisia zako toka kichwani.
Kaka jifunze kujenga hoja sio kukwepa hoja. Unaposema kwamba marehemu alikua anaugua Corona, wewe ndiye unayepaswa kutoa ushahidi kwamba amekufa kwa Corona, wewe ndiye utakayeeajibika kuthibitisha hilo.Mkuu kama Tanzania hakuna vipimo wala postmortem, wewe una ushahidi gani kuwa hao marehemu hawakufa kwa Corona?
Huoni kuwa unachosema kuwa huenda hawakufa kwa Corona ni mambo ya hisia tu? Kujua dhahiri nini kiliwaua si rahisi tu kwani panapotokea utata si hata makaburi hufukuliwa?
Madhumuni hasa ya kutokujiridhisha sababu za vifo ni nini? Si kuwa kuna nia ovu ya kuficha sababu za vifo vya marehemu hawa?
Watanzania wa leo hawaishi kwa hisia bali kwa facts. Pia za kuambiwa tunachanganya na za kwetu!
Nani kakwambia marekani vifo vinazidi kuongezeka? Huu ugonjwa uneshafanyiwa tafiti sana. Kabla ya ugonjwa kupungua ni lazima kuongezeka hadi ufikie peak ndipo sasa ushuke. Kwa kuanzia lazima maambukizi yaongezeke. Hakuna jipya hapo.
Marekani kwa taarifa yako alishafika peak na tayari ugonjwa unapungua. Waliokwisha fika peak ni pamoja na nchi za EU na zote unazoona hazikupigwa ban.
Zote zilizo kwenye ban bado maambukizi yanakua. Nchi zisizokuwa na takwimu kama sisi, hizo ndiyo hali inaweza kuwa hata mbaya zaidi. Wanaishi kwa hisia tu kama wapiga ramli.
Nani kakwambia South Africa ndiyo anayeongoza kwa vifo vya Corona?
Nani ajuaye usahihi wa takwimu za nchi yoyote ile? Kwani takwimu tunazozisikia ni huru? Nani asiyejua kuwa pana 'udhaifu' mkubwa kwenye utambuzi, pia pana nia ovu ya kuficha takwimu.
Usishangae hali ya wasiopima kuwa ni mbaya kuliko hata Africa kusini wanaopima.
Wewe huna lolote zaidi ya kuwa unabwabwaja kijima jima.
Si jiwe, kabudi wala Ummy wanakubaliana nawe wakiwa faraghani.
Nilisagau ukweli huu:
1. nchi zilizoepuka ban EU 100% zinapima Corona na zina takwimu za kuridhisha.
2. Nchi zilizoepuka ban ya EU 100% hakuna ambayo haipimi Corona au yenye takwimu magumashi.
3. Nchi ambayo haipimi Corona wala kuwa na takwimu za kuridhisha katu haitapita katika review yoyote na ya wakati wowote kabla ya beberu kugundua dawa!
Huo ndiyo ukweli ambao hata jiwe anaujua.
Kaka jifunze kujenga hoja sio kukwepa hoja. Unaposema kwamba marehemu alikua anaugua Corona, wewe ndiye unayepaswa kutoa ushahidi kwamba amekufa kwa Corona, wewe ndiye utakayeeajibika kuthibitisha hilo.
Hakuna aliyesema kwamba wabunge walikufa kwa ugonjwa wowote kwasababu hizo taarifa anazo daktari na ndugu zao, sasa wewe utaniulizaje nithibitishe kwamba wamekufa kwa Corona?. Sisi tupo kimya kwasababu hatujui kilichisababisha vifo vyao, hatuwajibiki kujibu lolote kuhusu vifo vyao kwasababu hatujui ndio sababu tumekaa kimya, wewe unayesema wamekufa kwa Corona ndiye unayepaswa kuthibitisha au kukanusha kauli yako, kinyume na hapo utakua unatumia hisia zisozokua na mashiko, kwasababu Mimi ninaweza kusema wamekufa kwa mshituko wa MOYO na huwezi kunipinga kwasababu hakuna ushahidi ni hisia tu.
Hayo mengine yote uliyoandika ni hisia haya ushahidi wala mashiko, sioni sababu ya kuyajibu, unayo haki kueleza hisia zako kadri upendavyo, lakini Serikali ya Tanzania inazidi kupokea uungwaji mkono toka pande zote za dunia, mwanzo dunia haikutuelewa, lakini sasa hivi wale ambao walipinga sasa hivi wanaungama.
Mkuu kama Tanzania hakuna vipimo wala postmortem, wewe una ushahidi gani kuwa hao marehemu hawakufa kwa Corona?
Huoni kuwa unachosema kuwa huenda hawakufa kwa Corona ni mambo ya hisia tu? Kujua dhahiri nini kiliwaua si rahisi tu kwani panapotokea utata si hata makaburi hufukuliwa?
Madhumuni hasa ya kutokujiridhisha sababu za vifo ni nini? Si kuwa kuna nia ovu ya kuficha sababu za vifo vya marehemu hawa?
Watanzania wa leo hawaishi kwa hisia bali kwa facts. Pia za kuambiwa tunachanganya na za kwetu!
Nani kakwambia marekani vifo vinazidi kuongezeka? Huu ugonjwa uneshafanyiwa tafiti sana. Kabla ya ugonjwa kupungua ni lazima kuongezeka hadi ufikie peak ndipo sasa ushuke. Kwa kuanzia lazima maambukizi yaongezeke. Hakuna jipya hapo.
Marekani kwa taarifa yako alishafika peak na tayari ugonjwa unapungua. Waliokwisha fika peak ni pamoja na nchi za EU na zote unazoona hazikupigwa ban.
Zote zilizo kwenye ban bado maambukizi yanakua. Nchi zisizokuwa na takwimu kama sisi, hizo ndiyo hali inaweza kuwa hata mbaya zaidi. Wanaishi kwa hisia tu kama wapiga ramli.
Nani kakwambia South Africa ndiyo anayeongoza kwa vifo vya Corona?
Nani ajuaye usahihi wa takwimu za nchi yoyote ile? Kwani takwimu tunazozisikia ni huru? Nani asiyejua kuwa pana 'udhaifu' mkubwa kwenye utambuzi, pia pana nia ovu ya kuficha takwimu.
Usishangae hali ya wasiopima kuwa ni mbaya kuliko hata Africa kusini wanaopima.
Wewe huna lolote zaidi ya kuwa unabwabwaja kijima jima.
Si jiwe, kabudi wala Ummy wanakubaliana nawe wakiwa faraghani.
Nilisagau ukweli huu:
1. nchi zilizoepuka ban EU 100% zinapima Corona na zina takwimu za kuridhisha.
2. Nchi zilizoepuka ban ya EU 100% hakuna ambayo haipimi Corona au yenye takwimu magumashi.
3. Nchi ambayo haipimi Corona wala kuwa na takwimu za kuridhisha katu haitapita katika review yoyote na ya wakati wowote kabla ya beberu kugundua dawa!
Huo ndiyo ukweli ambao hata jiwe anaujua.
Hizi points muhimu sana.... Haipaswi kuogopa kupima corona.
Mkuu kinachoangaliwa ni uhalisia wa kinachoendelea huku uraiani,kwa maana kama corona ingekuwa katika hali mbaya basi tungeona hizo athari huku uraiani maana haiwezekani kufichika jambo kama hilo.Bila kupima unatumia data ipi kuonesha maambukizi yamepungua??hivi watanzania wengi mbna hua hampendi kushirikisha akili kwenye hoja zenu!mnachoambiwa na serikali ni kubandika tu akilini na kuamini bila kujadili.....Kwa kweli serikali yenu inafanya kimaksudi kutofadhili sector ya elimu ili muendelee kuwa wajinga na kutouliza maswali
Sasa masilahi gani anayopata serikali kwa kuacha wananchi wake wapate corona na kufa? yani kwamba serikali imeona kabisa kuwa corona ni hatari Tz ila ndio ikaamua kufungua mashule na shughuli zengine zote huku ikijua kabisa kwamba maambukizi yatazidi na mwishowe ni vifo vya corona,sasa hapo masilahi gani utayoyapata vya hivyo vifo vya corona vitakavyotokea?Mkuu unadhani wanaogopa kupima basi? Ni ubinafsi tu. Wako tayari kuwaweka watu wote hatarini kwa kulinda maslahi yao.
Kwa ufupi wanakera sana ila cha kutia moyo, siku moja watawajibika kama si hapa duniani japo huko mbinguni.
Eeh mola wetu sikia maombi yetu.