Mbona nishakueleza hapo juu kwamba wakati Caesar anavuka the Rubicon miaka 49 kabla ya kuzaliwa Yesu, watu wanajua kwamba the exact words aliyosema ni kwamba "The Dice is cast", lakini sisi waafrika tunajua - no doubt kwa kusaidiwa na wamagharibi- about the same time wabantu walikuwa wanatoka Nigeria kaskazini na Cameroon ya kusini lakini hata hatujui kama kulikuwa na political units na kama zilikuwapo zilikuwa zipi na kiongozi alikuwa nani na alisema nini?
Ni simply about details, Africa ni continent la no data available, especially ukiongelea historia (some aspects mpaka leo).
Sasa nikiwa nasoma historia za warumi na wagiriki kabla yao, naona wanaongelea miaka 2000 iliyopita kama jana tu, kwa sababu wana records.Sisi tukiongelea miaka 100 tu iliyopita, historia za kina Mkwawa, tunaongelea in generalities.Hivi kuna mtu ana any direct quote ya Mkwawa? Hii ni miaka roughly 100 tu iliyopita, lakini hatujui Mkwawa alisema nini.Wenzetu wana record za maneno aliyosema Caesar more than 2,000 years ago.
Mtu akiliita Africa "Dark Continent" (of course Sub Saharan Africa, Egypt and Carthage is richly documented) in this aspect, kwamba labda lina a lot of rich history ambayo imekuwa forever lost, utakataa?
Hii thread yenyewe ni testament kwamba Africa is a Dark Continent in this aspect at least.
I am an African, a proud one at that (ndiyo maana sikubaliani na OPP anaposema "Waafrika ndivyo tulivyo") lakini my sense of realism inaniambia uzalendo una mwisho, kuna kitu kinaitwa ukweli, na no mater how much you may want things to be different, the truth is the truth.
Afrika kusini kwa Sahara kukosa maandishi kumetulostisha, hili halipingiki. Na pia kuwa na neema amabayo imetupa nchi kubwa isiyo na watu ambayo kwa miaka nenda rudi watu wame subsize kama hunter gatherers imetulostisha.
Africa is a dark continent because of the fact that not much of its pre-slavery and pre-colonialism history is documented. Dark continent comes from the saying 'in the dark' meaning not knowing about something. This is besides, of course, the fact that most of its inhabitants are of dark complexion.
Well,
1. Akina nani waliliita dark continent ni waafrika wenyewe, wazungu, au mkutano wa wazungu na waafrika walikubaliana kuliita dark continent?
2. Ni katika timeline ipi ambayo kama habari za bara fulani hazifahamiki basi linaitwa dark continent, na je zikiisha fahamika neno dark continent linaisha? mathalan Columbus wanasema 'aligundua' bara la america 1492, kama halikujulikana huko kwao ulaya kwa nini hawakuliita dark continent?
3. Ni lini kulikuwa na mkutano wa kudunia ulioestablish standard na kukubaliana kuwa bara lolote ambalo habari zake hazijaandikwa au kujulikana tutaliita dark continent? today we know we know some standard kama meter, mm, cm, japo bado wengine wanatumia ft, inch n.k, who, and when was decided that africa is dark continent simply because we dont know much about africa? where this standard established?
4. Is not the same abuse of so called britain people mentioning that Columbus discovered america in 1492 while Indian where there thousands years before? is not the very same lie mentioning Columbus while Amerigo Vaspucci arrived there far long before Columbus, na ndio walikochukua jina la america?
Or is it not the same reproach that Johannes Rebmann discovered Kilimanjaro in 1848! while our forefathers was living there??
so nisipojua habari za jirani, au makabila fulani basi niite dark tribes!!!!
This to me was insulting and disrespectful, however simlazimishi yeyote anayetaka kuitwa hivyo aitwe ila wako wachache tunaona it was not right! The bible which you call old book is mentioning Africa several times, Jewish was slave for 400yrs in Africa, Jesus when he came and lived in Africa, Queen that paid visit to King Solomon was from Africa! Indias and Arab have been in africa long beore whites, and they never mentioned us as Dark continent!
mbona hakuna misemo mingine iliyosifia uzuri wa bara letu?
mimi nililiacha hii habari ya dark continent primary