Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu ebu define 'dark continent' nasema sikubaliani na hili neno, kama wewe unakubali sawa iwe wewe na mnaotaka muitwe hivyo
eb nieleze maana ya dark continent!
Mbona nishakueleza hapo juu kwamba wakati Caesar anavuka the Rubicon miaka 49 kabla ya kuzaliwa Yesu, watu wanajua kwamba the exact words aliyosema ni kwamba "The Dice is cast", lakini sisi waafrika tunajua - no doubt kwa kusaidiwa na wamagharibi- about the same time wabantu walikuwa wanatoka Nigeria kaskazini na Cameroon ya kusini lakini hata hatujui kama kulikuwa na political units na kama zilikuwapo zilikuwa zipi na kiongozi alikuwa nani na alisema nini?
Ni simply about details, Africa ni continent la no data available, especially ukiongelea historia (some aspects mpaka leo).
Sasa nikiwa nasoma historia za warumi na wagiriki kabla yao, naona wanaongelea miaka 2000 iliyopita kama jana tu, kwa sababu wana records.Sisi tukiongelea miaka 100 tu iliyopita, historia za kina Mkwawa, tunaongelea in generalities.Hivi kuna mtu ana any direct quote ya Mkwawa? Hii ni miaka roughly 100 tu iliyopita, lakini hatujui Mkwawa alisema nini.Wenzetu wana record za maneno aliyosema Caesar more than 2,000 years ago.
Mtu akiliita Africa "Dark Continent" (of course Sub Saharan Africa, Egypt and Carthage is richly documented) in this aspect, kwamba labda lina a lot of rich history ambayo imekuwa forever lost, utakataa?
Hii thread yenyewe ni testament kwamba Africa is a Dark Continent in this aspect at least.
I am an African, a proud one at that (ndiyo maana sikubaliani na OPP anaposema "Waafrika ndivyo tulivyo") lakini my sense of realism inaniambia uzalendo una mwisho, kuna kitu kinaitwa ukweli, na no mater how much you may want things to be different, the truth is the truth.
Afrika kusini kwa Sahara kukosa maandishi kumetulostisha, hili halipingiki. Na pia kuwa na neema amabayo imetupa nchi kubwa isiyo na watu ambayo kwa miaka nenda rudi watu wame subsize kama hunter gatherers imetulostisha.
Africa is a dark continent because of the fact that not much of its pre-slavery and pre-colonialism history is documented. Dark continent comes from the saying 'in the dark' meaning not knowing about something. This is besides, of course, the fact that most of its inhabitants are of dark complexion.
Nikichukua mfano, je Wanyakyusa, Wamatengo, Wanyiramba, Wachaga, Waha, Wazigua, Wakurya, Wahaya, Wamakua, Wazaramo, Wafipa na kabila nyingin nyingi, je zilikuwa katika mfumo na muundo gani wa kimaisha kabla ya kuingiliana na mifumo ya kieni na hata baada ya kuingiliana na mifumo ya kigeni iwe ni Waarabu, Wagiriki, Waajemi, Wahindi, Wareno hata Waingereza?Chang!
Nikijiangalia kama Mtanzania na nafasi na asili yangu kama Mtanganyika, najiuliza, vizazi 10 kabla yangu vilikuwa ni vya watu wa namna gani? Wawindaji, Wahunzi, Wafanyabiashara, au Wahangaikaji wa mwituni? Je upeo wao wa kujituma kufanya kazi, kufikiri, kujiongoza, kuwajibika, malezi ya familia na mengine mengi yalikuwa yanafananaje kabla ya kukutna na tamaduni hizi ngeni ambazo leo ndio tunajivunia kuwa ndio asili yetu mpya?!
Well,
1. Akina nani waliliita dark continent ni waafrika wenyewe, wazungu, au mkutano wa wazungu na waafrika walikubaliana kuliita dark continent?
2. Ni katika timeline ipi ambayo kama habari za bara fulani hazifahamiki basi linaitwa dark continent, na je zikiisha fahamika neno dark continent linaisha? mathalan Columbus wanasema 'aligundua' bara la america 1492, kama halikujulikana huko kwao ulaya kwa nini hawakuliita dark continent?
3. Ni lini kulikuwa na mkutano wa kudunia ulioestablish standard na kukubaliana kuwa bara lolote ambalo habari zake hazijaandikwa au kujulikana tutaliita dark continent? today we know we know some standard kama meter, mm, cm, japo bado wengine wanatumia ft, inch n.k, who, and when was decided that africa is dark continent simply because we dont know much about africa? where this standard established?
4. Is not the same abuse of so called britain people mentioning that Columbus discovered america in 1492 while Indian where there thousands years before? is not the very same lie mentioning Columbus while Amerigo Vaspucci arrived there far long before Columbus, na ndio walikochukua jina la america?
Or is it not the same reproach that Johannes Rebmann discovered Kilimanjaro in 1848! while our forefathers was living there??
so nisipojua habari za jirani, au makabila fulani basi niite dark tribes!!!!
This to me was insulting and disrespectful, however simlazimishi yeyote anayetaka kuitwa hivyo aitwe ila wako wachache tunaona it was not right! The bible which you call old book is mentioning Africa several times, Jewish was slave for 400yrs in Africa, Jesus when he came and lived in Africa, Queen that paid visit to King Solomon was from Africa! Indias and Arab have been in africa long beore whites, and they never mentioned us as Dark continent!
mbona hakuna misemo mingine iliyosifia uzuri wa bara letu?
mimi nililiacha hii habari ya dark continent primary
Hayo mambo ya dark continent ni msemo tu. Haina maana watu walikaa rasmi na kuipachika Afrika hilo jina kwa kuzingatia vigezo fulani. Kama vile ilivyo kwa 'new world' kwenye Americas, Afrika nayo hivyo hivyo. If you find it to be insulting you have the right to reject it.
Omega that was just a challenge my friend so that our thread may be lively. Our continent is beautiful inspite of our level of development, people are happy in Africa than anywhere in this planet
Case ya dark continent mimi sikubaliani nayo kwa sababu naamini data zilikuwepo. Kulikuwa na watu kwenye makabila yetu yote kazi yao ilikuwa profiling history ya kabila na kuilithisha kwa mwingine atakayechukua nafasi yake, kwa Wahaya ukienda kwenye vijiji vilivyokuwa vinahost bakama utakuta wana historia ya more than 10000 years. Sasa what happened au kwanini haiandikwi hadi leo kuna sababu kubwa mbili hapa nazo ni:-
Wakoloni hasa wazungu walipokuja walihakikisha kila kitu chetu kinakufa na mojawapo ya kuua history ilikuwa kupiga marufuku profilers wote na kuakikisha hakuna historia inaandikwa tena na iliyokuwepo inafutika kabisa, hili alikutokea Africa tu check ancient Iraq and Mexico kwa Mayans haya mataifa yamesahauliwa kabisa kama sio watu wajasiri walioficha scripture zilizopigwa marufuku wasingejulikana kama walikuwepo. Sisi Africa wakoloni waliokuja walikuwa wakali sana kwahiyo tukachoma kila kitu hatukubakiza hata kimoja
Pili ni tabia yetu wenyewe, kudharau vitu vyetu wenyewe, nenda Museums shabani Robert collection zao kwa makabila is nothing kabisa tunajifanya hatukuwahi kuwa na makabila bali tulikuwa na taifa ndio maana hatuwezi pata historia ya nyuma zaidi ya 1945. Kama kweli tunaitaka historia then Government should invest in research kwa kila kabila na kupata historia yake na zipo sio kwamba hazipo bali tunadharau kuwa ilikuwa ni makabila na sasa tunaongerea nchi, tukifanya research kidogo utakuta kwa mfano Tanzania ni nchi ya watu wote wanaoizunguka mfano Rwanda na Burudi zitakuwa part ya Tanzania, Buganda na Bunyoro pia and the like kwani wengi wetu tumetoka nje ya tanzania kwenye miaka 500 iliyopita wenyewe hapa ni Masai tu
Kiranga na Omega,
Je inawezekana kuwa tunajinyima Historia yetu na kuamini tunaloshindiliwa kooni na Mkoloni kama vile Watumwa wa Kimarekani weusi ambao eti kumbukumbu za zwalikotoka hazijulikani zilipo?
Je ni kampeni maalumu ya kutudumaza kiakili na kijamii (kiutamaduni)?
Je ni kitu gani kinatufanya tusiwe na kumbukumbu nzuri au hata kuwa na maandiko ya kueleza ukweli kuhusu sisi kama Watu?
Marehemu Barongo aliandika kitabu cha Mkiki Mkiki wa Uhuru, lakini kama ukienda mashuleni, kila tulichojifunza kilikuwa Mzungu/TANU/CCM oriented na hapakuwa na opposing views kuleta balance.
Lol...do you really wanna know? Do you really want me to go in? I bet you don't!
Rev., history, for the most part is written based on the perspective of who is writing it. That is why you'd be hard pressed to find a balanced perspective or alternative viewpoints about our history as a people.
OPP
oyvidn oyvilut!
See, you are one of the few who gets it! Bravo bravismo.
You are one Nutty son of a gun and that is why Reverend loves you!
You are one Nutty son of a gun and that is why Reverend loves you!
Well hivi sasa hivi kuna mtu, taasisi au kikundi kinachoandika kwa ufasaha nini kinaendelea nchini mwetu. Maana it is this present that is gonna be the history in some years to come.
Huewezi amini hawa tunaowaita waandishi uchwara, makanjanja ndio watakaokuwa reference in future...............
For example wapi unaweza kupata historia sahihi ya Morogoro town ilikuwaje in 1980?
Zaidi zaidi utapata simulizi tu! Uchaguzi unakuja ths yr lakini unaweza kukuta hakuna hata clip moja ya of just 2005 ikionyesha muungwana akitudanganya na maisha bora kwa kila mtanzania. in previous elections. Atakuja na slogan nyingine and life goes on!!!!