Uchaguzi 2020 Tathmini yangu kuhusu Uchaguzi 2020

pasi padinde

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
281
Reaction score
299
Wana hamvi hamjambo humu?

Mpaka sasa tumeona jinsi kampaini zinavyo kwenda

Kati ya miaka mitano tena
Na miaka mitano kwanza
Kwa mwenendo huu wa kampain inavyoenda bila ya kuelemea upande wowote ikiwa uchaguzi huu utakuwa wa HAKI,HURU NA UWAZI nani ataibuka mshindi?

Je nani anaeleza sera zake vema bila upendeleo?
Je nani anapendwa wapiga kura kwa uhalisia?

Swali la pili tumesikia kwamba kuna upigaji kura siku ya tarehe 27 naomba kujua kwamba hivi nani anakusudiwa kupiga kura siku hiyo na je hao watakao piga siku hiyo watakuwa huru kweli kuchagua wanaempenda? Na je wakikataa kupiga alafu wakapiga siku inayofuata kuna dhambi gani?
 
Lissu atashinda Jpm hatasindwa na hii ndo itakuwa safari yake yakurudi uchatoni.
 
CHADEMA Mtaweweseka sana kipigo kipo pale pale
Ushindi wa Rais Magufuli ni 98%
 
Najiandaa kuja kuangalia Coment za wana Buku saba saba wanavyilo kidhalilisha chama CCM.

YEHODAYA.
Kawe Alumni.
Bia yetu.
Wakudadavua na mwana buku saba mpya
Jane Lowassa.
 
Hiyo idadi ya wapiga kura 29m+ ndio inayosababisha tume ya uchaguzi igome kutoa daftari la wapiga kura mpaka sasa. Na huu utata wa wapi karatasi za kura zinachapishwa hapo ndio ngoma ilipo.
Duh!
 
Hiyo idadi ya wapiga kura 29m+ ndio inayosababisha tume ya uchaguzi igome kutoa daftari la wapiga kura mpaka sasa. Na huu utata wa wapi karatasi za kura zinachapishwa hapo ndio ngoma ilipo.
Kamanda kwani tukifahamu wapi karatasi zinachapishwa itasaidia nini? Au watachapa ambazo zinatick kwa mgombea wa Ccm?
 
Kamanda kwani tukifahamu wapi karatasi zinachapishwa itasaidia nini? Au watachapa ambazo zinatick kwa mgombea wa Ccm?

Kama kuna nia njema kwanini iwe kwa kificho? Uwezekano wa kampuni ya humu ndani kutumika kutengeneza karatasi za ziada za zenye nia ovu ni mkubwa. Na iwapo litatokea la kutokea, kampuni ya humu ndani ni rahisi kutishwa ili kuogopa kutoa ushahidi wa hujuma zozote.
 
Ahaaa kamanda,lakini mawakala si huwa wanahakiki karatasi kama haina tick?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…