pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Wana hamvi hamjambo humu?
Mpaka sasa tumeona jinsi kampaini zinavyo kwenda
Kati ya miaka mitano tena
Na miaka mitano kwanza
Kwa mwenendo huu wa kampain inavyoenda bila ya kuelemea upande wowote ikiwa uchaguzi huu utakuwa wa HAKI,HURU NA UWAZI nani ataibuka mshindi?
Je nani anaeleza sera zake vema bila upendeleo?
Je nani anapendwa wapiga kura kwa uhalisia?
Swali la pili tumesikia kwamba kuna upigaji kura siku ya tarehe 27 naomba kujua kwamba hivi nani anakusudiwa kupiga kura siku hiyo na je hao watakao piga siku hiyo watakuwa huru kweli kuchagua wanaempenda? Na je wakikataa kupiga alafu wakapiga siku inayofuata kuna dhambi gani?