Tathmini yangu kwa Harmonize nje ya WCB

Anaweza kuchukua nafasi ya kiba maana kiba teyali kashapotea ila sio mond, mondi ni habari nyingine
 
Tuache Unafiki bwana, Dogo anapotea. Kusema kamaliza mwaka vizuri unamaanisha nini? Kutoa UNO na Kushoto/Kulia?

Kuona mafanikio yake nje ya WCB tufananishe na alivokua ndani. Sema ndio hivo baadhi ya data hatuwezi pata mfano kipato kwa mwezi, idadi ya shows kwa mwezi, mikataba nje ya music, etc.

Kupatana na Clouds na kushiriki Fiesta hakuna impacts kabisa katika mafanikio. Kwasababu mashabiki ndio wanaompa mafanikio msanii na sio Radio. Mtu kama Harmonize hakuna Mtanzania anaependa Music wa Bongo Fleva hafu asimjue, kwahiyo wimbo wake kupigwa au kutopigwa Clouds hakuna impacts kabisa. Labda uniambie Clouds inasikilizwa sana nje huko ambako radio nyingine hazifiki.

Tutaishia kumpima kwa likes za Insta na views za Youtube ambazo hazina faida kwenye mafanikio.
 
una point lakin watakubeza
 
Hater

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…