kwani vp mkuu ww ni zari nn
Kuna pic naona daimond kadondoka anatokwa mapovu,,kuna niniYani ujue ni frustration tosha ukiangalia video aliopost akicheza na Mondi inaonyesha kabisa she has a bipolar
Yani bibi kajishebedua nakujizalilisha kwakutaka kumuonyesha Hamisa. Just bse [emoji533][emoji533][emoji533][emoji533]. Alafu anacholwa vibaya maana juzi kuchukua tuzo Mondi alienda na Misa Nigeria. Yani uke wenza unaweza kukufanya uwe kicha.
Kuna pic naona daimond kadondoka anatokwa mapovu,,kuna nini
Ngoja niende nipate ubuyu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna pic naona daimond kadondoka anatokwa mapovu,,kuna nini
LiniAlianguka kifafa.
Utaambiwa wivu....lakini ki ukwl hawashtui tena wanalazimisha tuYani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Akiiii hujawah ona mtu anazaliwa tarehe 20 lakini birthday party ikaenda tarehe 30?Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Wameshtua haswa mpaka kuja kufunguliwa uziUtaambiwa wivu....lakini ki ukwl hawashtui tena wanalazimisha tu
hata sio mara moja, yule lil q birthday yake zari alikuaga bongo, akamuahidi atamfanyia akirudi, aliporudi wakafanya party....Akiiii hujawah ona mtu anazaliwa tarehe 20 lakini birthday party ikaenda tarehe 30?
Hamna kitu kilichobuma ni maamuzi ya watu tu
Kwani hawajasema mkuu[emoji23] [emoji23]Utaambiwa wivu....lakini ki ukwl hawashtui tena wanalazimisha tu
Asante kwa kushirikiAkiiii hujawah ona mtu anazaliwa tarehe 20 lakini birthday party ikaenda tarehe 30?
Hamna kitu kilichobuma ni maamuzi ya watu tu
Too much hateYani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Labda wewe Mimi natamani wangeifanya hii birthday mpaka 1.1.2018Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Too much hate
asante kwa ReplyLabda wewe Mimi natamani wangeifanya hii birthday mpaka 1.1.2018