Tatizo bday ya nillan vinywaji viliisha mapema

Yani ujue ni frustration tosha ukiangalia video aliopost akicheza na Mondi inaonyesha kabisa she has a bipolar

Yani bibi kajishebedua nakujizalilisha kwakutaka kumuonyesha Hamisa. Just bse [emoji533][emoji533][emoji533][emoji533]. Alafu anacholwa vibaya maana juzi kuchukua tuzo Mondi alienda na Misa Nigeria. Yani uke wenza unaweza kukufanya uwe kicha.
Kuna pic naona daimond kadondoka anatokwa mapovu,,kuna nini
 
Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Utaambiwa wivu....lakini ki ukwl hawashtui tena wanalazimisha tu
 
Akiiii hujawah ona mtu anazaliwa tarehe 20 lakini birthday party ikaenda tarehe 30?
Hamna kitu kilichobuma ni maamuzi ya watu tu
 
hata sio mara moja, yule lil q birthday yake zari alikuaga bongo, akamuahidi atamfanyia akirudi, aliporudi wakafanya party....
Team singo mom wanatafuta tu cha kuongea
 
Utaambiwa wivu....lakini ki ukwl hawashtui tena wanalazimisha tu
Kwani hawajasema mkuu[emoji23] [emoji23]

sasa hivi wamebaki kupandana kama mmbwa vile..ila diamond kawa na wanawake wote hajawahi kumdhalilisha kama huyu mama...inasikitisha sana kuona yeye ndio anaependa
 
Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Too much hate
 
Labda wewe Mimi natamani wangeifanya hii birthday mpaka 1.1.2018
 
Hahahahaaaaaa inachekesha kidgo lkn siamini kama waliishindwa kuagiza vingine baada tu ya kuona vinakaribia kuisha
 
Back
Top Bottom