Tatizo bday ya nillan vinywaji viliisha mapema

Tatizo bday ya nillan vinywaji viliisha mapema

Wanaendeleza white party baada ya Mobeto kumfrustrate Bi.Zari ndani ya Uganda alipozaliwa.
Yani ujue ni frustration tosha ukiangalia video aliopost akicheza na Mondi inaonyesha kabisa she has a bipolar

Yani bibi kajishebedua nakujizalilisha kwakutaka kumuonyesha Hamisa. Just bse [emoji533][emoji533][emoji533][emoji533]. Alafu anacholwa vibaya maana juzi kuchukua tuzo Mondi alienda na Misa Nigeria. Yani uke wenza unaweza kukufanya uwe kicha.
 
536ae9daee1560b6a9425f32baa3e155.jpg
 
34dd000000ca18f156704037165f44ba.jpg
15d2d0e048efadfaf70f8a077b42eaa4.jpg
e414bb53ef9c6cc4f6bedd44d23f7718.jpg

Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.
Ooooooh mdogo wangu, utakufa maskini ukiendelea kufuatilia maisha ya watu
 
Back
Top Bottom