Tatizo damu ya Mtu haifukiwagi na mchanga. Damu hufukiwa na damu juu yake



Hata kwenye siasa ,Chama tawala kikikaribia kutoka madarakani kinaua wetu wa wasio na hatia . Damu ikizidi kumwagika inainua mizimu na kuwaingia wetu kwa nguvu kubwa na kusababisha wafu kuwa majasiri na wasio na woga. Matokeo yake ni hasira na Visasi na kuuana mapana wote waliosababisha mauaji kwa watu wasio na hatia waangoamie na vizazi vyao au kukimbia nchi kuepuka kuuawa. Ndio maana leo hatuna kizazi cha Hitler kinachotajwa tena duniani.
 
Mkuu Robert Heriel Mtibeli vipi barabara hasa baadhi ya maeneo fulani kuwa na ajali za kila mara zenye kumwanga damu, kiroho ikoje hii?
Je eneo hilo huwa kuna majini/mapepo yenye kudai damu kila muda fulani au ni shida tu ya barabara eneo hilo?
Je shida ya barabara ikitatuliwa mf kuwekewa matuta je majini wanaweza kusababisha ajali sehemu hiyo?
 
Duuh kwahio wanaowauwa binadamu hutoa kafara kwa kuua mifugo mfano cattles, sheeps , goats etc
 
Yes, there are known relatives of Adolf Hitler, although many have changed their names or distanced themselves from their infamous ancestor. Here are a few examples:

1. William Patrick Hitler (1911-1987): Adolf's nephew, son of his half-brother Alois Hitler Jr. He served in the US Navy during WWII.
2. Heinz Hitler (1920-1942): Adolf's nephew, son of his half-brother Alois Hitler Jr. He died in combat during WWII.
3. Bridget Hitler (1891-1969): Adolf's sister-in-law, married to his half-brother Alois Hitler Jr.
4. Angela Hitler (1883-1949): Adolf's half-sister, daughter of his father Alois Hitler Sr.
5. Alexander Adolf Stuart-Houston (1949-present): Adolf's great-nephew, son of William Patrick Hitler. He lives in the United States.
6. Brian Stuart-Houston (1951-present): Adolf's great-nephew, son of William Patrick Hitler.
7. Louis Stuart-Houston (1955-present): Adolf's great-nephew, son of William Patrick Hitler.

Many of Hitler's relatives have changed their names, moved to different countries, or kept a low profile to avoid association with their infamous ancestor.
 

Ajali nyingi za Barabarani NI uzembe wa madereva, Kisha ubovu au wembamba wa Barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…