Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Umechaguliwa wap?VP wana JF ,kuna tatizo lolote endapo mtu hatakwenda jkt?naombeni ushauri....
Umechaguliwa wap?
shida hakuna,lakini we nenda labda kama una sababu nyingine ya kukufanya usiende....Mtabila kigoma
Vp km umept kazi?Mkimaliza huwa mnapewa vyet,,nivizur ukaongeze cv huko nenda tu ukikaa mtaani likizo ni ndefu sana utakuwa mzinifu tu kwakuwa uko huru sana nw
Duh vp nikienda kambi nyngne nackia hawana shdaKama umechaguliwa nenda maana watatumia kama kigezo cha priority kwa walichaguliwa kwenda na wakaenda kwenye mafunzo,na kambi za Kigoma kwa mazoezi acha!!!!!!!1
Ukienda kambi nyingine bajeti yako haitakuwepo ndio maana wanapeleka idadi kulingana na uwezo wa kambi kuwa-accommodate waliopangiwa!!!!!!!!!Duh vp nikienda kambi nyngne nackia hawana shda
Sawasawa[emoji16]Ukienda kambi nyingine bajeti yako haitakuwepo ndio maana wanapeleka idadi kulingana na uwezo wa kambi kuwa-accommodate waliopangiwa!!!!!!!!!
Ok mkuu[emoji106]Kama umechaguliwa nikushauri tuu uende Mdogo wangu. Hayo ni mafunzo kwa mujibu wa sheria, hivyo usipokwenda ni sawa na umevunja sheria.
Pia Cheti cha Jkt huwezi jua ni wapi watakuomba katika maisha yako ya utafutaji, inaongeza CV kama unampango wa kuwa mtumisha ndani ya JMT.
Cha uoga... nenda kijana.
Ulipochaguliwa kwenda form v ulikwenda shule yoyote?Duh vp nikienda kambi nyngne nackia hawana shda
Ss jeshi n shule c vtu vwil tofautiUlipochaguliwa kwenda form v ulikwenda shule yoyote?
Kuna neno lipo kwenye hii kitu " kwa mujibu wa sheria" hapo tayari ushainusa magereza kama wakiamua kukaza uzi.Habari wana JF ,
Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?
Naombeni ushauri tafadhali
Kuna neno lipo kwenye hii kitu " kwa mujibu wa sheria" hapo tayari ushainusa magereza kama wakiamua kukaza uzi.Habari wana JF ,
Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?
Naombeni ushauri tafadhali
Poa me nimechaguliwa bulombora-kigomaMtabila kigoma
Unaenda?Poa me nimechaguliwa bulombora-kigoma