Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

wakuu habarini za saizi
naomba kujua walioandka barua za kusitisha jkt kwa sababu ya kupangiwa vyuo wakitaka kwenda kuripoti jkt baada ya kuhitimu. utaratibu unakuwaje hapo?
 
Hamna ktu hcho soma tafuta kazi jkt usipoenda ndo basi tena umeshakosa cheti chao
 
Kuna mwenye namba ya Lt Mwakyobwe alikuwa Mtabila sidhani kama bado yupo? Au mawasiliano ya mtu yeyote aliyepo Matabila.
 
Back
Top Bottom