Usimtishe wala swala la kutokwenda jeshi haliwezi kuwa kikwazo katika ajira.........
Hii ni kwasababu, jambo lenyewe la kuwapeleka wahitimu wa kidato cha sita lipo kisanii sana......
Kwa mfano kuna shule moja ipo Manyara ilikuwa na wahitimu 200, ila waliochaguliwa kwenda jeshi ni 10 tu.....Vipi kuhusu hao 190, hawajakataa kwenda ila hawajachaguliwa..
Pia kuna shule nyingine ipo Morogoro ilikuwa na wahitimu 148, lakini waliochaguliwa ni 8 tu..
Vipi hao 140 waliobaki?
Serikali yetu bado haipo makini katika hilo suala, bado hawajaamua, nadhani wakiamua hata suala la bajeti haiwezi kuwa kikwazo, maana ndio kisingizio chao kikubwa....