Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

Mwache aende,mwaka juzi nilikuwa jkt makutupola intake ya walimu kwa nilivoona sidhani kama unaweza pata hata muda wa kuwaza ngono, ni kazi kwa kwenda mbele ambazo zinaufanya mwili uchoke ,hamu zote za ngono hupati hata kama ungekuwa na nguvu kama za fisi maji,let the lady go for the betterment of her future,who knows tomorrow?
Thanks but noooo,
 
Kwenda kambini wewe unatafuta mteremko nyie watoto vip?haya haraka
 
Si kushauri uendee Tangu jeshi jkt kwenda imeanzishwa kuna wengine huwa wanaahirishiwa kila mwaka so wewe piga dili zako home mm nilipangiwa Kigoma sikwendaaaa hadi leo nipo na maisha yanaenda? Kwani sahizi wote mmpangiwa? Nchi yetu haijajipanga so na wewe usijipange kwendaaa piga dili zako za hela kule sahizi ni kupotezeana mdaa
 
Kwa ss hautakuwa na shida, ila baadaye itakuwa n lazima uwe umepitia JKT ili upate kazi
Sijui utamlalamikia nani
 
Si kushauri uendee Tangu jeshi jkt kwenda imeanzishwa kuna wengine huwa wanaahirishiwa kila mwaka so wewe piga dili zako home mm nilipangiwa Kigoma sikwendaaaa hadi leo nipo na maisha yanaenda? Kwani sahizi wote mmpangiwa? Nchi yetu haijajipanga so na wewe usijipange kwendaaa piga dili zako za hela kule sahizi ni kupotezeana mdaa
Ahsante mkuu n mm nmepangwa hukohuko KG
 
Nani anaenda JKT Kanembwa wale walofungwa goli nyingi za 'uongo' na Geita FC!!??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
uamuzi ni wako
Ila haina umuhimu wa kiiivyo
hao serekali wanatoa ajira kiasi gani kwani mpaka uogope kuja kukosa ajira?
 
Jkt ni kuharibu viongo vya siri vya mabinti....

Kuna dem mmoja nafanya nae kazi sura ni mzur ila anaongea matusi hadi sura unaona imrchachuka kisa JKT.

Mm naona madem wasiwe wanaenda kwakwel
 
Habari wana JF ,

Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?

Naombeni ushauri tafadhali
Dogo ujue kuwa baada ya mika mitano ijayo, MTU hatapata ajira serikalini kama hajapitia JKT, Nenda tu kijana.
 
Madhara yake utayaona mbeleni hicho ndoo kitakuwa kikwazo kwenye Mishe za ajira

Usimtishe wala swala la kutokwenda jeshi haliwezi kuwa kikwazo katika ajira.........
Hii ni kwasababu, jambo lenyewe la kuwapeleka wahitimu wa kidato cha sita lipo kisanii sana......
Kwa mfano kuna shule moja ipo Manyara ilikuwa na wahitimu 200, ila waliochaguliwa kwenda jeshi ni 10 tu.....Vipi kuhusu hao 190, hawajakataa kwenda ila hawajachaguliwa..
Pia kuna shule nyingine ipo Morogoro ilikuwa na wahitimu 148, lakini waliochaguliwa ni 8 tu..
Vipi hao 140 waliobaki?

Serikali yetu bado haipo makini katika hilo suala, bado hawajaamua, nadhani wakiamua hata suala la bajeti haiwezi kuwa kikwazo, maana ndio kisingizio chao kikubwa....
 
Back
Top Bottom