Mtabila eeeeh ambaaaa!!!
Ngoja nikupe hint za matabila nilikuwa hapo mwaka juzi.
Kamanda: Major GB Kazaula.
Msaidizi: Major TJ Ngailo.
Maafisa:
1.Lt Nyakohanda ng'oncho lusui.
2.Lt AJ Massawe.
3.Lt Sk Mwakyobwe.
4.Lt IT Mwambasi
5 .LT Mtasigwa
6.LT Chiteji (mfupi hivi-halafu ni chief of Military police)
Mazingira:
1 Hamna umeme
2. Ilikuwa camp ya wakimbizi hapo zamani
3.Kuna miti ya matunda ya kutosha(maembe,maparachichi,Ndizi)
4 .Mvua ikinyesha bonge la tope hapa andaa raba ngumu hata pea mbili na rainboot
Kambi ina eneo kubwa saaana yaani kama mtaa kama kariakoo yote ile daaah mpaka moyowosi kule
Nenda na track suit ,usiende na nguo nyeupe ukiwa na nguo nyeusi au kijani ni poa zaidi ,
Tafuta soksi ndefu hata pea mbili halafu uwe na tochi na betri za kutosha
Usibebe nguo nyingi kwani hutozivaa
Shuka ,godoro , blanketi na neti utapewa .
Pamoja na vyombo vya kulia
Kikubwa muhimu usiwe mkaidi yaani legeza moyo utainjoi sana ukijifanya nunda utalala selo ya jeshi.
Waziiiiiiiiiiiiiii[emoji14] haya mzalendo nenda Kule bhana use kuruti kisha uwe serviceman was jeshi
" tinaaa tinanaa mtoto was jeshi tinaa tinaaaaa hongera mwanamaua "×2
Vijana maua popote huchanua twendeniiiii tukaljengee taifaaaa"