Tatizo gari kutobadilisha gia

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau mimi nina gar aina ya nissan vannete, gari hii ina tatizo la kitobadilisha gia, hapo mwanzo ilikuwa inafika hadi gia tano na overdrive ilikuwa inafanya kazi lkn baadae ile taa ambayo huonesha HOLD Ikaanza kuwaka kwa kubrink brink lkn gia zote zilikuwa zinapatikana. Baadae tatizo liliibuka la kuishia gia 3 tu niliendelea kuitumia hivyo hivyo sasa jana ikagoma kabisa kufikia hata hizo 3 nilivyochungulia kwenye gia box nikakuta kuna vi waya fulani viko na socket vikiwa vimekatika nikajaribu kuviunga nilipokwenda test gar ikawa inajifunga breki kwa gia lkn sio breki halisi. Nikajaribu kuichomoa ile socket na gari ikwa inakwenda tu hadi speed 70 japo sisikii ikibadilisha gia, hapo wadau shida itakuwa ni nini?ngoja niambatanishe na picha ya socket yenyewe

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Msaada tafadhali

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Ipeleke kwenye mashine tatizo litajulikana mkuu kwa mafundi wetu utaambiwa usafishe sample
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaweza kuwa gear box oil, angalia stick ya oil na linganisha nà oil unayotumia.Magari yanyotumia oil aina ya T- IV ukijiwekea bila utaratibu lazima gearbox igome na itakubidi kubadili gearbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…