teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau mimi nina gar aina ya nissan vannete, gari hii ina tatizo la kitobadilisha gia, hapo mwanzo ilikuwa inafika hadi gia tano na overdrive ilikuwa inafanya kazi lkn baadae ile taa ambayo huonesha HOLD Ikaanza kuwaka kwa kubrink brink lkn gia zote zilikuwa zinapatikana. Baadae tatizo liliibuka la kuishia gia 3 tu niliendelea kuitumia hivyo hivyo sasa jana ikagoma kabisa kufikia hata hizo 3 nilivyochungulia kwenye gia box nikakuta kuna vi waya fulani viko na socket vikiwa vimekatika nikajaribu kuviunga nilipokwenda test gar ikawa inajifunga breki kwa gia lkn sio breki halisi. Nikajaribu kuichomoa ile socket na gari ikwa inakwenda tu hadi speed 70 japo sisikii ikibadilisha gia, hapo wadau shida itakuwa ni nini?ngoja niambatanishe na picha ya socket yenyewe
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk