Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Mtu mweusi hasa mwana ccm Ànastahili kwenda UTUMWANI. huku kujitawala ni kumpa asichostahili. One huyu ana kiri kwamba anaibiwa uranium lakini anashupaza shingo kwakuwa anayeongea ni polepoleNdo hivyo.
Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume.
Haka kakitu hakina athari hata chembe. Pekee alichonacho ni kakikundi kidogo Cha malofa kutoka upande uleeee ulioshindwa kwenye Kila hila na fitina kwa nahodha. Malofa si watu wa kuwategemea sababu ni malofa......Kuna mtu aliwaburuza kwa miaka 20 bila wenyewe kujua🤣🤣🤣🤣🤣
Ikiwa watakitaka kweli hako kakitu, basi ni kazi rahisi tu kwani uwezo na mbinu zipo kibao tu; mfano Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD kanafikiwa hata kabla hakajaamka huko mafichoni kwake.
Naona amewapiga kwenye mshono, basi mpo mnatapatapa tuNdo hivyo.

mtoto wa mjini yule. unaona jpm alivyoliwa kichwa fasta?Kikwete ana ujanja upi Mkuu?