cylivester
Senior Member
- Aug 19, 2013
- 150
- 8
Nakwambia humu ndani kuna vituko.hadi wazinzi na wauza unga wamemjua mungu. Not secure hili neno linakeraaaas.
hahah kutakuwa na mabadiliko wanayafanya maana hata mm niliandikiwa this index number z nat secure lol...
dah bora iwe ivo wengine ndoto ze2 ndo zitaishia apa
sijui ni mm tu au kuna na wenzangu
Kweli,,nadhani kuna kitu wanafanya,,,,alafu kuandikiwa did not secured,,,,means not yet fixed,,,,vuteni subira,,,mambo yakuwa sawa.