Tatizo: HESLB account has been suspended

Tatizo: HESLB account has been suspended

Tuombeane wenzangu tangu chekechea tunasoma shule za kata hii ni kuonyesha ni jinsi gan wazaz we2 wasivyokuwa na uwezo wa kutugharamia ktk shule nzur lakin bado heslb haitutazami?
 
Mtt waki Tz hauna budi kuwa mvumilivu smtms mzuka wakusoma unakua loosed... Ila inabidi kusikilizia tu coz system haielewek...
 
Nakwambia humu ndani kuna vituko.hadi wazinzi na wauza unga wamemjua mungu. Not secure hili neno linakeraaaas.
 
Hivi Mbo hii account imekuw suspended wakat bado watu wana cheki.!!
 
ukiingia heslb inaandika ivo au ndio sisi wa not secured tunarekebishiwa dah mungu saidia
 
hahah kutakuwa na mabadiliko wanayafanya maana hata mm niliandikiwa this index number z nat secure lol...
 
Bodi mmekosa na mabilion yote hayo mmekosa pesa ya kulipia website mpaka akaunt inasuspendiwa
 
sijui ni mm tu au kuna na wenzangu

Hivi tz kuna utaratibu wa kufanya kazi wik end kweli mhhh inshallah waturekebishie mambo ili hata tusiwasumbue kwenda kujazana kwenye ofisi zao hiyo kesho
 
Kweli,,nadhani kuna kitu wanafanya,,,,alafu kuandikiwa did not secured,,,,means not yet fixed,,,,vuteni subira,,,mambo yakuwa sawa.

Ndugu hebu ongea vizuri hapo wajua ni jinsi gani ulivyoongeza imani kwangu kwa kulitafsiri hivyo
 
mbona inapiga kazi tu nyie mnadanganyana mie bado inasema NOT SECURED
 
Ombeni nanyi mtapewa! Tuwe na imani naamini bodi wanamaana yao! Pia inaonekana ni kwa wale waliofanya application tcu kwa awamu ya pili!
 
Back
Top Bottom