Mwanangu baada ya kumpa uji leo asubuhi niliochanganya na mafuta ya Habbat souda na asali...
Akawa anajiangalia tumbo lake kama analipiga piga.. Nikadhani linamuuma labda au ameshiba sana...
Shida alipojisaidia toka asubuhi yake kabla sijampa huo uji nilioeleza hapo. .. ALIJISAIDIA KINYESI CHA KIJANI SANA. .. SASA NIMESHTUKA KIDOGO. ..