Tatizo kisima kuvuja

Tatizo kisima kuvuja

Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2,736
Reaction score
3,644
Wakuu habari zenu.

Naombeni msaada nina kisima ninachovuna maji ya mvua, naona kama kinavuja ndani kwa ndani kwani maji hayajai tena, nilijaribu nikatoa maji yote, nikasafisha na kusakafia tena pamoja na ule unga nimeaahau jina lake, wanasema unaziba, lakini naona maji bado hayasogei, Kama yanavuja.

Mafundi hakuna anayenipa jibu.

Naombeni msaada tafadhali.
 
Tupe ujazo wa kisima na rate ya maji yayayoingia ili tuone kisima kinatakiwa kujaa kwa mda gani.
 
Wataalamu watakuja kukusaidia mkuu. Maana hatua ya kurudia kusakafia ushachukua. Je ulivotoa maji yote ukaguzi haukuonekana ufa wowote.

Pia unaweza kuta mvua zinazonyesha hazina uwezo wa kujaza kisima hicho kutokana na uchache wa mvua hizo.
 
Wakuu habari zenu.

Naombeni msaada nina kisima ninachovuna maji ya mvua, naona kama kinavuja ndani kwa ndani kwani maji hayajai tena, nilijaribu nikatoa maji yote, nikasafisha na kusakafia tena pamoja na ule unga nimeaahau jina lake, wanasema unaziba, lakini naona maji bado hayasogei, Kama yanavuja.

Mafundi hakuna anayenipa jibu.

Naombeni msaada tafadhali.
Pole sana..hii ishu ilishawahi nitokea na niliingia gharama kubwa kurekebisha,kwanza nakushauri utafute fundi mzuri wa ujenzi ambae anaelewa/uzoefu kwenye maswala ya visima vya kuvuna maji atakushauri vizuri zaidi. pili jiandae kifedha ili uweze kutatua tatizo hilo kabsa maana ni gharama kidgo.

Mimi nilichofanya nilinunua materials kama Waterproof cement, Wire mesh (kuzunguka kisima chote kwa ndani),Niliweka cement 42.5 yenye ratio kali, binder na pia tuliondoa kona za kile kisima (kwa ndani) na kufanya kwa ndani kuwe na round sehemu zenye kona, hii husaidia maji yasitengeneze crack sehemu hizo..pia nilirudi kujengea tofali kwa ndani (tofali esp za chini zilikuwa zimeliwa sana) hvyo kisima kilipungua ukubwa (volume), vile vile kwenye kozi kama nne za chini nilipiga zege sababu kwenye kisima pressure ya maji ni kubwa zaidi chini hvyo nirahisi sana kubomoa kuta za chini kuliko juu na mwisho nikarudi kupiga plaster na niru, toka nifanye hvyo nashukuru mpka sahv hakijavuja tena.
 
Thanks for sharing. Je kama tayari kimefunikwa kwa zege bado hii inafanya kazi. By the way Fundi wako ni wa mkoa gani? Mimi ninacho hapo DSM na ninapata shida kwa sasa maana kinavuja sana Natanguliza shukrania
 
Usijali mkuu bado inawezekana ilimradi uliacha sehemu ya mlango/mfuniko ili fundi na material viweze kupita,kama hukuacha nafasi ya mfuniko au ni ndogo hyo itakuwa kazi kubwa zaidi maana hapo itabidi wabomoe kdgo slub ya juu ili waweze kuingia huko chini,vile vile kama kuna maji bado yamebaki inabidi yote yatolewe, kama ni mengi utabidi utumie pump kuyatoa.

Fundi niliemtumia niwa dar sema niliomba ushauri pia kutoka kwafundi wangu mwingine wa mkoani ambae huwa anauzoefu kidgo na hizo kazi. Sema hyo show ilikuwa ya kibabe maana kuzama kule chini na joto la dar ilikuwa sio mchezo na pia lazima utafute taa/tochi yenye mwanga mkali maana kule chini ni giza.
 
Pole sana..hii ishu ilishawahi nitokea na niliingia gharama kubwa kurekebisha,kwanza nakushauri utafute fundi mzuri wa ujenzi ambae anaelewa/uzoefu kwenye maswala ya visima vya kuvuna maji atakushauri vizuri zaidi. pili jiandae kifedha ili uweze kutatua tatizo hilo kabsa maana ni gharama kidgo.

Mimi nilichofanya nilinunua materials kama Waterproof cement, Wire mesh (kuzunguka kisima chote kwa ndani),Niliweka cement 42.5 yenye ratio kali, binder na pia tuliondoa kona za kile kisima (kwa ndani) na kufanya kwa ndani kuwe na round sehemu zenye kona, hii husaidia maji yasitengeneze crack sehemu hizo..pia nilirudi kujengea tofali kwa ndani (tofali esp za chini zilikuwa zimeliwa sana) hvyo kisima kilipungua ukubwa (volume), vile vile kwenye kozi kama nne za chini nilipiga zege sababu kwenye kisima pressure ya maji ni kubwa zaidi chini hvyo nirahisi sana kubomoa kuta za chini kuliko juu na mwisho nikarudi kupiga plaster na niru, toka nifanye hvyo nashukuru mpka sahv hakijavuja tena.

Asante sana sana.

Kwanini mliamua kuongeza kozi za tofari?
Nawaza kozi tatu? Daaa kisima kitabaki kifupi.

Wire meshi na cement na water proof nakubaliana nayo
 
Mimi kisima changu cha kuvuna maji kilikuwa kikubwa ni sqM 36 (6x6) na futi 12 kwenda juu hvyo hata nilivyokuja kukipunguza bado kina uwezo wa kuweka maji mengi tu ya kutosha..nilirudi kujengea kwa ndani sababu tofali za ukuta wa kisima kwa chini zilikuwa zimeliwa sana hvyo zilikuwa ndo zinaleta leakage kubwa, ningejaribu kuziba tu bado tatizo lingejirudia tena tu.
 
Back
Top Bottom