BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
punguza woga kijana hilo debe lipo ili linyewe na watu na watu ni mimi na weweWewe unatafuta sababu ya kwenda kunyea debe
Kweli kabisa!Mm nadhani na wadada kutembea uchi ni sababu pia-vijana kila dk wamesimamisha tu. Ukifika muda wa mechi mchezaji Hoi.
Afu haya makalio makubwa na mashape mapya mijini yana tumalizia vijana.
watu wengine tunapiga puchu na wife akija kazi iko pale pale mwendo mdundo! hao watakua na matatizo yao mengine.Hivi kuna reference standard ya kupima nguvu za kiume?
Ili mtu awe imara lazima kuwepo na mzunguko wa damu,...mazoezi ya viungo+ msosi husaidia kuongeza nguvu za kiume.
Kama mtu hakuzaliwa na hilo tatizo, hawezi kukumbwa nalo ila litatokea kwaa muda tu sababu ya lishe ama stresses, katika hizo hali siyo nguvu za kiume tu bali mwili kwa ujumla huishiwa nguvu
Porn na puchu kamwe havijawahi kusababisha upungufu wa nguvu za kiume!
Tena yasiyo na uponyaji...unaanzaje kushindwa kula mbunye?watu wengine tunapiga puchu na wife akija kazi iko pale pale mwendo mdundo! hao watakua na matatizo yao mengine.
Mkuu kama umeniona vile,mi naangalia sana x mpaka nekuwa sinahamu na mwnamke,ebu tutafutie suluhisho ndgu hali ni mbaya,nakosa confidence kukutana na mwanamke mana punyeto ishanimaliza na kichwa kimejaa pono tu[emoji27] [emoji27] [emoji27]Mzuka wanaJF!
Bora mungu akunyime IQ kuliko nguvu za kiume (manhood). Ni mtazamo wangu tu.
Tatizo kubwa kwasasa linalopunguza nguvu za kiume kwa wanaume wengi hasa vijana ni ponography na punyeto (mastabeshen) na siyo aina ya chakula kama inavyosadikika na wengi.
Hii inatokana sana na teknolojia ya Internet kwenye smartphone na tablets ambapo imekuwa rahis kuingia kwenye tovut za ngono na kujikuta unapiga puli mara kwa mara ukishaziangalia na kuathiri mfumo mzima wa kisaikolojia katika mustakabal mzima wa kugegeda.
Wahanga wengi wa haya makitu wamejikuta kila wakikutana na wenzi wao kugegedana wanajikuta hawana nguvu. Ambapo imepelekea michepuko uchwara mingi katika jamii.
Zamani matatizo kama haya yalijulikana sana kuwakumba wazee na wenye kisukar ila kwa sasa imekuwa tofaut.
Kwa wale wana matatizo kama haya wakijitahid waachane na porn na punyeto kwa wiki mbili wataona mabadiliko makubwa sana na wakiingia uwanjan yani magoli watakayofunga ni ya hatar na kuachia mafuriko kama ya mto Weruweru.
Kwa hisan ya vyanzo vya kuaminika mtandaon.
Young men seeking treatment for erectile dysfunction because of porn
ndo unasikiaga don't send a boy to do man's jobTena yasiyo na uponyaji...unaanzaje kushindwa kula mbunye?
For sure...kazi za wanaume tuachiwe sisi...hawa wavulana tuwakuze pole pole hadi wafike hizi leve mkuu.ndo unasikiaga don't send a boy to do man's job
Jamaa uko sahihi kabisaaa , na kwa tafiti zilizofanyika materbation haina madhara kwny uwezo na nguvu za kiume. Ila unapata psychological problem ambazo huwa znapungua tu pale ukiamua na kuamua kuachana na punyeto[emoji382] [emoji382]upungufu wa nguvu ni tatizo binafsi la mtu mwenyewe na sio punyeto,nimeanza puli tangu darasa 7 mpka chuo ndio nimekuja kuacha.
Sina tatizo lolote la nguvu na piga mzigo kama kawaida naenda round za kutosha tu.
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume,acheni kula vyakula vya viwandani
Mkuu umehit ikulu, kwani hilo nalo linachangia mno kwakweli!Mm nadhani na wadada kutembea uchi ni sababu pia-vijana kila dk wamesimamisha tu. Ukifika muda wa mechi mchezaji Hoi.
Afu haya makalio makubwa na mashape mapya mijini yana tumalizia vijana.
Hahahaha umetishaupungufu wa nguvu ni tatizo binafsi la mtu mwenyewe na sio punyeto,nimeanza puli tangu darasa 7 mpka chuo ndio nimekuja kuacha.
Sina tatizo lolote la nguvu na piga mzigo kama kawaida naenda round za kutosha tu.
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume,acheni kula vyakula vya viwandani
Acha kudanganya watuVYAKULA NANE VINAVYIHATARISHA NGUVU ZA KIUME KUPUNGUA.
1.MKATE
2.VYAKULA VYA SUKARI
3.SODA
4.BIDHAA ZA VIWANDANI (SOSEJI BISKUIT CHOKLATE MAYONIZE NA NK)
5.POPCORN(BISI)
6.KAHAWA
7.NYAMA ZA KOPO
8.CHIPS
EPUKA VYAKULA HIVI JE VINGAP UNAPENDA KULA KAT YA HIVI
upungufu wa nguvu ni tatizo binafsi la mtu mwenyewe na sio punyeto,nimeanza puli tangu darasa 7 mpka chuo ndio nimekuja kuacha.
Sina tatizo lolote la nguvu na piga mzigo kama kawaida naenda round za kutosha tu.
Vyakula ndio chanzo kikubwa cha upungufu wa nguvu za kiume,acheni kula vyakula vya viwandani
Upungufu wa nguvu za kiume kila mtu anazo sababu na chanzo cha tatizo kwake.
Ila tatizo kuu ni kuathirika kisaikolojia. Mfano mimi nikiwa sina pesa nakuwa na stress hata sex nikifanya nnakuwa mbali kifikra.
Kizazi chetu nacho ili kuandaa mazingira mazuri ya sex lazima wallet ikunjuke na balaa zaidi kama ni mchepuko, kila anayeshiriki sex na mwanaume anategemea malipo. Hivyo ukipiga kimoja cha pili ni issue..unawaza utafidia vipi pengo la fedha ulizospend..
Kwahiyo stress za kiuchumi zinafanya wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume.
Pia vijana wengi wavivu wa kufikiri huamini pombe na madawa kama bangi na mirungi huondoa stress.
Kati ya vitu vinavyoua nguvu za kiume ni pamoja na pombe za kienyeji na viroba, bangi na mirungi, madawa ya kulevya, madawa ya kuongeza nguvu za kiume nk
Kuzaa sana au kutokuzaa sana hakumaanishi uwezo wa nguvu za kiume au upungufu wa nguvu za kiume.Kama takwimu zako NI sahihi mbona watu wasio jiweza kiuchumi wana zaa sana.Kwa Mfano vijijni Au sehemu za miji.Watu wenye uwezo kiuchumi ndio wanazaa mtoto mmoja Au wawili.
naomba nielimishwe tafadhali