mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Kuzaa sana au kutokuzaa sana hakumaanishi uwezo wa nguvu za kiume au upungufu wa nguvu za kiume.
Kuna statement niliwahi kuiskia kuwa "mwanamke akikaa muda mrefu bila kuguswa, ni rahisi kushika mimba akiingiliwa wakati wowote baada ya menstrual period" though I'm not certain sure.
Kama ni kweli utagundua hao wanaume wa kijijini mfano wale wa Rombo, huwa wanaotea moja la ushindi[emoji3] [emoji3].
Pia inawezekana hao wanaume wenye uchumi mdogo wanaozaliana sana, uwezo wao ni goli moja tu wanapotelea usingizini
Asante Mkuu