Tatizo kubwa kwa kupungua nguvu za kiume siyo aina ya chakula bali

Asante Mkuu
 
hili ni tatizo cna hasa kwa wanaume wa dar.msihofu tunahamia dodoma
 
Hata mavazi ya wadada wa siku hizi yanapunguza nguvu za kiume. Zamani kuiona pichu ya binti ilikuwa ishu, siku hizi mapichu njenje!
 
Mkuu labda utuambie ni kula kwa kiasi gani kunakuwa na madhara.............mfano slice ya mkati ni mbaya au mpaka nipige kama nusu hivi? I know too much of something is dangerous but wataalam wa lishe nao wanasema ule kdgo kwa afya, hii imekaaje?
 
umeelezea vizur to much is harmful ukila kidogo kemikali zinazoingia ni low ukila siku nyingi yaan ndio destur kwa maana jion ukichelewa hupiki chakula ni mkate juisi baada ya mda itakua mbaya
 
Yap nimekuelewa Mr kwaiyo naendelee na puchu au Co?
 
vipi kuhusu tatizo la kuwa na nguvu nyingi za kiume linachangiwa na nini.? mana hili nalo ni tatizo. wengine tunaonekana kama tunakomoa. Msaada pliiiz
 
mwanamke anatambua akiona mwanaume hujitambui anatumia dawa za majira na mwishowe utadhan huzai kumbe mtego umekubana mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…