Watu wengi wanajisahau na kujitoa fikra. Chadema kutokushiriki maana yake ni kwamba kuna Watanzania wengi hawatoshiriki uchaguzi hasa wakijua matokeo kama 2019, 2020, na 2024 yamesha pangwa.
Kwa mtu yeyote anayependa nchi hutakiwi kufurahia watu 30%~50% wa wapiga kura wako wawe hawaamini mifumo, vyombo vya usalama na serikali. Kwa wale wanaofikiria Chadema ni Lissu na Heche wanajidanganya mfano CCM ina wanachama kama milioni 15-16 na Chadema wana wanachama milion 8-10 na hapo tunajua kuna watu wengi hawana vyama. Huwezi kupuuza Chama chenye watu zaidi ya milioni 8 na kufurahia tu maana hakuna mtu anaye wajua hao watu ni wakina nani? Hao ni watu wa kawaida na wapo kwenye jamii.
Kuji imanisha kwamba Chadema ni chama cha Lissu, Heche na Mnyika ni makosa makubwa sana. Chama sio uongozi pekee ni watu nyuma ya uongozi
Kwenye hili ya reform kama wewe hautaki reform basi wewe hautaki mfumo wa ki demokrasia. Huwezi kupenda demokrasia halafu uwe wa kwanza kuunga mkono sheria hizi