mirymicaiah605
Senior Member
- Apr 6, 2014
- 107
- 17
Wana JF Nisaidieni,
Nina mdogo wangu amemaliza diploma sasa, alikuwa anafanya, application za degree via NACTE sasa kalipia 50 mpesa ila sasa ile step ya kuweka number yake ya mtihani chuoni wakamwandikia kuwa the registrartion number not found.
kuna kieneo kimeonesha pa kujaribu njia nyingine ambayo ni ya kuupload vyeti sasa yeye chet chake kilikosewa jina sasa anataka aupload transcript yake japo pale wameeandika academic cerficate followed by academic transcript
nisaidien ushauri wa kumshauri je afanye mawasiliano na NACTE na kuwaambia kilichojiri au awasiliane na chuo alichomailza na ajue atafanyaje?
kingine hela imeenda kama ataambiwa imeshindikana hela hatorufishiwa ?