Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

Tatizo kuhusu usajili wa NACTE

mirymicaiah605

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
107
Reaction score
17
Wana JF Nisaidieni,

Nina mdogo wangu amemaliza diploma sasa, alikuwa anafanya, application za degree via NACTE sasa kalipia 50 mpesa ila sasa ile step ya kuweka number yake ya mtihani chuoni wakamwandikia kuwa the registrartion number not found.

kuna kieneo kimeonesha pa kujaribu njia nyingine ambayo ni ya kuupload vyeti sasa yeye chet chake kilikosewa jina sasa anataka aupload transcript yake japo pale wameeandika academic cerficate followed by academic transcript

nisaidien ushauri wa kumshauri je afanye mawasiliano na NACTE na kuwaambia kilichojiri au awasiliane na chuo alichomailza na ajue atafanyaje?

kingine hela imeenda kama ataambiwa imeshindikana hela hatorufishiwa ?
 
Aambatanishe hvy hivy hata kama jina limekosewa aweke hicho cheti na transcript pia
 
:sleep: Chum Kane kakwambia too late. Nami nakwambia pole sana kwani jana 31.08.2014 ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kujisajili. Fedha hairudi. Ajaribu mwakani.
 
uzoefu wa mwaka jana TCU na NACTE huongezeaga kamuda kusawazisha masuala kama haya - let us hope so and fingers crossed!!
 
no hurry in africa - imemponza. kwa nini amesubili mpaka siku ya mwisho.
 
Central Adm System ya NACTE bado iko active hadi sasa 1st Sept 2014, nadhani wataifunga leo saa 6 usiku. Fanya haraka kumalizia issue yako bado kuna Kamuda ka masaa kadhaa.
 
alikosea jina kwenye cheti au alitumia jina la mtu kwenda diploma?manake tz mnachakachua mpaka majina ya watu,uwe waz mkuu
 
Wala hakuna ila niliongea nao kwenye contact zao wakaniangalia kwenye,system ya chuo and tumeshakamilisha
 
Wala hakuna ila niliongea nao kwenye contact zao wakaniangalia kwenye,system ya chuo and tumeshakamilisha
Aiseeeeee!! Ukiwa mwongo sharti uwe na kumbukumbu nzuri. Wewe umetuambia una mdogo wako ndo alikuwa anafanya huo mchakato sasa mwisho hapa unatuambia "WAKAKUANGALIA KWENYE SYSYTEM YA CHUO" sasa inakuwaje wewe wakuangalie wakati aliyekuwa anaomba chuo ni mdogo wako?

Hivi pale uliposema jina kwenye cheti limekosewa ina maana liko tofauti na lile la kwenye transcript? Basi kazi ipo hasa ata/uta........kapofika chuoni, maana kule kila kitu huwa kinalinganishwa!! Hongera kama umefanikiwa kurekebisha hilo tatizo.
 
Job K iko hivi bro its mdogo wangu amemaliza chuo cha magogoni 2013 chet amekipata mwez wa 4 kilikuwa kimekosewa kwahyo akaondoka na transcript sasa mistake iliyofanyika instead of Mary wameandika maria kittah akakiacha cheti akabeba transcript sasa akaambiwa atapewa end of june bt hakupata na kwenye kuapply NACTE system haina matokeo yake tukiuliza watu wanadai asubiri next year.mpaka chet kitakapotoka halafu option ya kuupload vyet iko
Academic cerficate followed by academic transcript sasa hw angeapply au upload bila chet.ikabidi mimi hapa niwapigie kuwaambia na kuwatajia # na.kuwambia kuwa hatuna chet n they told me tuatach transcript cz aliniangalizia matokeo ya dogo nikamwambia sasa hw wakat deadline imeishapita.ndio akaniambia we extend it till 6/9 na sio eti sikumbuki nilichokisema cz mi niliongea kwa niaba na kuuliza kwa niaba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom