Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeelewa na nashukuru umepanua mjadala-sasa tatizo ni nini? au ni attitude kama ulivyosema? au approach? Je kwa polisi wote namna ni moja?Well, mimi kwa uzoefu wangu....
Nimeshakuwa pulled over na polisi weusi, wazungu, na wenye asili ya KiAsia [mchina mchina hivi].
Nishakuwa pulled over na polisi wa kike mweusi na wa kiume weusi.
Kusema kweli sikupenda ‘energy’ yao.
Kosa lilikuwa ni minor traffic violation tu.
Lakini kauli zao, attitudes zao hazikuwa za kiungwana kabisa, licha ya kwamba nili comply na vyote walivyotaka.
Kwa upande mwingine, nishakuwa pulled over mara nyingi tu na polisi wa Kizungu na sijawahi kupata unpleasant experience yoyote ile zaidi ya kuchukia tu kiwango cha citation waliyonipa.
nimeelewa na nashukuru umepanua mjadala-sasa tatizo ni nini? au ni attitude kama ulivyosema? au approach? Je kwa polisi wote namna ni moja?
Upolisi, hasa kwa nchi kama Marekani, ni kazi ngumu sana.
Marekani kuna zaidi ya bunduki milioni 300 zilizopo uraiani.
Bunduki hizo ni zile zinazomilikiwa kihalali na kiharamu.
Sasa polisi huwa wanakabiliana na watu wa kila aina huko uraiani.
Kwa mfano, polisi anapoisimamisha gari, iwe kwa sababu yoyote ile, anakuwa hajui huyo mtu aliemo kwenye gari kama ana silaha au hana.
Ishawahi kutokea mara nyingi tu ambapo polisi anaisimamisha gari, anamfuata dereva wa gari aliemo kwenye gari, halafu polisi anaishia kupigwa risasi na kufa papo hapo.
Kwa ufupi ni kwamba, polisi wa Marekani wanafanya kazi chini ya mazingira magumu sana na yaliyo hatarishi kwa maisha yao [kumbuka polisi nao wana familia zao na wanapenda kurudi toka kazini wakiwa wazima]. Pia, mishahara yao si mizuri kivile. Mishahara yao haiendani na hatari ya kazi zao.
Kwa hiyo, kwa ufupi ninachoweza kukisema ni kwamba, uwepo wa silaha kwa wingi, ugumu wa kazi ya upolisi, maslahi ya kazi yenyewe, ni baadhi ya vitu vinavyochangia.
Lakini pia polisi nao ni binadamu. Wao siyo maroboti. Kama binadamu tulivyo, wapo pia mapolisi wasio makini, wapo walio makatili, wapo walio wacheshi, wapo walio waelewa, na kadhalika.
Kwa bahati mbaya, wale wanaochemka wakiwa kazini ndo hubamba kwenye vichwa vya habari.
Matukio ya kipolisi yanayoishia na vifo vya wanaohusika ni machache sana kuliko yale yanayoisha kwa amani.
Na daima siku zote mabaya huyashinda uzito mazuri.
Hebu ona hao polisi walivyojichanganya na waandamanaji na kuanza kuyarudi magoma...
Vipi kuhusu wakiwakamata wazungu, waarabu na wachina, energy yao ni moderate ?Well, mimi kwa uzoefu wangu....
Nimeshakuwa pulled over na polisi weusi, wazungu, na wenye asili ya KiAsia [mchina mchina hivi].
Nishakuwa pulled over na polisi wa kike mweusi na wa kiume weusi.
Kusema kweli sikupenda ‘energy’ yao.
Kosa lilikuwa ni minor traffic violation tu.
Lakini kauli zao, attitudes zao hazikuwa za kiungwana kabisa, licha ya kwamba nili comply na vyote walivyotaka.
Kwa upande mwingine, nishakuwa pulled over mara nyingi tu na polisi wa Kizungu na sijawahi kupata unpleasant experience yoyote ile zaidi ya kuchukia tu kiwango cha citation waliyonipa.
Sijui maana huwa sipo kushuhudia. Ushuhuda nilioutoa ni wa tajiriba yangu tu.Vipi kuhusu wakiwakamata wazungu, waarabu na wachina, energy yao ni moderate ?
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini ninavyoskia huko U.S hali huwa inayofautiana kutegemea na jimbo husika ( sina uhakika ), kwa kuwa wewe unaishi/umeishi huko experience yako uliyotupa ni kutoka jimbo unaloishi au imetokana na majimbo mbalimbali (kama umeishi sehemu tofauti ).Sijui maana huwa sipo kushuhudia. Ushuhuda nilioutoa ni wa tajiriba yangu tu.
Ila habari za polisi kuuwawa na kila aina ya watu [wazungu, weusi, walatino nk] nishaziona.
Nishaishi majimbo kadhaa. Nishatembelea majimbo zaidi ya 20.lakini ninavyoskia huko U.S hali huwa inayofautiana kutegemea na jimbo husika ( sina uhakika ), kwa kuwa wewe unaishi/umeishi huko experience yako uliyotupa ni kutoka jimbo unaloishi au imetokana na majimbo mbalimbali (kama umeishi sehemu tofauti ).
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna siku nilisaidiwa sana na polisi wa kizungu huko baltimore jimbo la maryland.sio polisi wote wakizungu ni wambaya.lakini ninavyoskia huko U.S hali huwa inayofautiana kutegemea na jimbo husika ( sina uhakika ), kwa kuwa wewe unaishi/umeishi huko experience yako uliyotupa ni kutoka jimbo unaloishi au imetokana na majimbo mbalimbali (kama umeishi sehemu tofauti ).
Sent using Jamii Forums mobile app