Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

Pole sana mpendwa.sepparation kwa sasa ni muhimu sana ili apate muda wa kutafakari kama anakuhitaji wewe au huyo mwanamke mwingine.akirudi ni muhimu kupima afya.mpendwa kuachana ni ngumu ila ni bora ukajitenga nae ili uweze kulinda afya yako.watoto wanakuhitaji.chukua hatua
 
Mi ni mvulana ila haya siyawezi kufanya kwa mke wangu na pia hata ningekuwa mimi ndo huyu binti nishaondoka zamani sijali ndoa gani wala nini.Dada yangu kimbia mapema hiyo ndoa nahisi mabaya mengi sana yanaweza kukutokea siku chache zijazo eti kwa kusimamia uvumilivu kwenye ndoa.Wenzio wanang'ang'ana kwenye ndoa kama hizo kama hawana pa kukimbilia yaani ma goal keeper sasa we unasubilia nin alafu na kazi unayo.Ki sykologia huyo baba hafai kuishi na watoto wako hivyo kuachana nae ndio solution kwa watoto wako,na ukizidi kukaa nae na watoto wanaona ushetani unaofanywa na baba yao unawadhuru kisykologia.NDOA INAFUNDISHA KUVUMILIA LAKINI SIO UJINGA KAMA HUO.namaliza kwa kusema hivi "bora uishi na zimwi kuliko kukomaa na wanaume dizaini ya mumeo"MUNGU TUSAIDIE NA SISI TUSIPOTEE
 
Binti Mmoja
1. Nilijifunza kuwa uvumilivu unaumiza na pia una kiwango chake. Kikifika, unakufa ganzi, na hapo husikii maumivu tena. Huwezi kumbadilisha binadamu hata siku moja, hasa zee zima, unapoteza muda wako Binti Mmoja. Chukua chako mapema hasa roho yako, songa mbele...Maisha yako mengi tu.
2. Kuna watoto baba zao walikuwa wazuri, wema, waungwana...ila Mungu akawachukua. Sasa unaogopa nini kulea watoto wako Binti?
 
Mimi ni binti wa miaka kama 30 hivi nina watoto wawili niko kwny ndoa ya kikristo kwa miaka mitano kwa sasa, Nimekuwa ninapata matatizo kwenye ndoa yangu mara kwa mara mimi na mume wangu, kiukweli naweza sijakaa kufurahia raha ya ndoa ni machungu tu mara nyingi.

huyu kidume hamkuwahi kufahamiana vizuri kabla ya kufunga ndoa? alilazimishwa kukuoa? alikulia katika familia ambayo hakuwahi kupata uhuru wa kujichanganya, so amezibukia ukubwani? humpi mapenzi ya kutosha......? all in all, ni kitendo cha aibu sana kwa mwanaume ku-behave that way na hivyo kuweka rehani uhai na ustawi wa maisha yake mwenyewe na wa familia yake kwa ujumla - ama kweli nimeamini kunguru hafugiki!
 
Katika mambo yanayosikitisha kwenye ndoa ni wanaume kuwaruhusu vimada kudharau wake zao wa ndoa. Ikifika hatua hiyo mwanaume hakuheshimu hata kidogo na dharau zote anaonyesha kwa wanawake wa nje.

Shosty utaishia kuwa stressed, uletewe magonjwa na bado huyo mwanamke aendelee nae. Hukuzaliwa na huyo mwanaume na hakushushwa toka angani uishi nae milele. Vitu vingine vina mwisho hata kama ni ngumu kusitisha!!

Value yourself na jipe priority kwenye haya maisha, watoto ndiyo furaha yako milele. Men come and go!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana kwa matatizo makubwa yanayokukuta ndani ya ndoa yako. Huyu anakudanganya tu hana mapenzi yoyote na wewe. Kama angekuwa na mapenzi na wewe basi angekuwa tayari kukuomba samahani, kuhudhuria vikao alivyotakiwa kuhudhuria ili mjaribu kutatua matatizo mliyokuwa nayo ndani ya ndoa yenu. Halafu anaonyesha ujeuri wa hali ya juu kwa kusema hivi, "mwanamke hata nikimkuta pale kwake tutakaa wote na anaweza kuja huku home nilipo yaani popote atapoenda atakuwepo yule hawala cause ana mimba yake" Ushauri wangu ni kuachana naye na kuendelea na maisha yako wewe na watoto wako.


Anasema ananipenda amechanganyikiwa na yeye for the situation sijui wakati anafanya haoni, nimepeleka mashtaka kwny baraza la kata akikataa kuja au wakishindwa naenda ustawi wa jamii. What I need to do ni kufuta dream za huyo mke mtarajiwa kwanza kupata assuarance ya pesa ya matumizi kwa watoto monthly bila usumbufu. abakishiwe pesa ya kutumia yeye. sijui nifanye nini kingine?
 
huyo jamaa ambae anasifa zote za kuitwa kicheche asome maneno yote lakini asikose comment ya Rourette(moderator) awesome!

langu kubwa ni kuwa mshikaji amezidisha, Pamoja na ukweli kuwa dada anatakiwa aruke haraka maisha na jamaa Kicheche lakini pia akae mbali nae sisi wanaume ni mabingwa wa kuimbisha wanawake hadi wanaingia mtegoni, atamsumbua sana, ushauri wangu, ni kama wa yule bwana kwenda bench la polisi..nalijua vyema, ili kumuweka katika mikono ya ulinzi, ni kupitia kule jamaa atapeleka matumizi, anagalizo ni kuwa si rahisi wazazi wa pande zote kukubaliana kupeleka polisi bench la nje, haswa upande wa mume, bila kufanya hivyo jamaa lazima atamfata huyu dada wakai mwingine ampe tunda jamaa maana huyu mtu anaonekana anapepo, na linamtesa kwa mf.....''... kwenye simu anatoka Asha, anaingia Hadija, akitoka anaingia ashura mpaka sasa....'' dada usigeuke nyuma..sepa na huruma kwa huyo Kicheche acha kabisa, usisahau kituo cha kutetea haki za watoto nk kwa ajili ya kukupa team itayokuwa kama watchdog katika suala lako, maana si muda mfupi..POLE SANA DADA..wanaume sisi balaa!
 
Labda nikuulize dada mmja. huyu jamaa tunda anakudai wakati akija au ndio hata kukupa haki ya ndoa hataki? na je unaweza kusema na wewe ambacho labda kinamuudhi kutoka kwako, maana hapa tunashauri ili tuwe fair kuwa muwazi, na baya lako liseme...after ro! hatutakusuta, maana mm ni msutaji sna kwenye status za hovyo ila hii yako imenimaliza ni jeuri mbaya uliofanyiwa. so hembu sema ya upande wako, yaan makosa yako wewe yaliomtoa joka pangoni kwenda kusaka bucha nyingine maana na nyie saa zingine mnakuwa wa ajabu hadi baba anaamua arudi home usiku wa manane! haya! kazi kwako :argue::gossip:
 
Pole sana mdogo wangu,kama ni majaribu ndani ya ndoa unayo ila kosa ulilofanya ni kukaa kimya kwa mda wote wa miaka 5 ila usife moyo,sasa hivi unachotakiwa kufanya ni kutoa taarifa kwa wazazi wa pande zote mbili ikiwa ni pamoja na kanisani kwani kwa hili ilivyo huyo si wako tena maana huyo hawara yake akishajifungua itakuwa ni matatizo zaidi
 
Nejaribu kusoma maelezo yako na pia kufuatilia michango ya wadau na wewe mwenyewe jinsi unavyoipokea hiyo michango, nimegundua kuwa wewe unatamani kupewa ushauri wa kuambiwa uvumilie kwenye ndoa na siyo ushauri mwingine wowote.

Maana nimegundua uko kinyume kabisa na ushauri wowote unaokutaka ujitenge na huyo mtu. Sasa kama jibu ulikuwa nalo umekuja hapa Kufanya nini? Na wote unaowashukuru ni wale tu wanaokushauri kuwa uvumilie. We mimi Nashauri ufanye vile unavyoona halimashauri ya kichwa chako inavyokutuma.

Unakaa na kujijaza ujinga eti yeye anasema ananipenda na hii hali inamchanganya....loooooh umesema mwenyewe hapa kuwa hujawahi kufurahia ndoa yako tangu mfunge ndoa kwa miaka mitano, sasa kweli hivi mtu anayekupenda anaweza kuthubuyu kukufanyia unyama wa namna hii.???

Ninamashaka sana na upeo wako wa uelewa na hata kuelimika kwako. Aliyeenda shule na kuelimika vizuri wala hawezi kufanya huo uzembe wa kifikra unaofanya wewe. Samahani Kama nimekukwaza but nivizuri tuwe tunaambiana ukweli.
 
Some men are just Cra.p Pole sana Binti MMoja zingatia ushauri wa Roullete na wengine, Mungu akupe nguvu kwenye haya mapito.
 
Pole sana binti mmoja achana na hilo gumegume na gubebe mshukuru mungu amekujalia watoto wa kukufariji wenzio wanafanyiwa zaidi ya hayo na watoto hawana kilichopo lea wanao fatilia haki za wanao kutoka kwa baba yao kupitia ustawi hadi mahakamani mdharau kabisa asipate nafasi ya kuona bila yeye wewe huwezi kuishi wanawake tunaweza bwana
 
dada jipange tu hakuna haja ya kusumbuana sana naye lea watoto wako Mungu atakubarikia sana
 
Pole Binti Mmoja. Unajua tatizo la mumeo, huyo anatakiwa afanyiwe MBWA management style. (Management By Walking Around). Kwa kumuacha aende mikoani na akae peke yake umefungulia bahari.
Hapa angalia kati ya maisha na kazi. Unaweza hata tafuta kazi huko, cha muhimu anatakiwa kubanwa sana huyo!
 
Pole kwa hayo yote
Lakini Hongera kwa kuweza kumvumilia Mumeo

Kwakua unayo kazi yako, Hebu jaribu kukaa mbali naye mpaka ajue kwamba upo mbali nae kuwa Busy na watoto wako tu

Wape taarifa ya status ya ndoa yenu , Wazazi wote, mshenga , Wasimamizi wenu na Kanisa

Ni ulimbukeni tu huo, atakujaona thamani yako, na akirudi HAKIKISHA MNAPIMA HIV STATUS MARA MBILI ndipo uwe huru nae tena, asije kuletea Magonjwa huyo
 
Pole sana dada kwa mkasa mzito kiasi hiki. Hii ni kutokana na ukweli kuwa hukufanya home work yako sawasawa wakati wa uchumba. But all in all maisha lazima yaende. Kwa jinsi mwenzio alivyo ningekushauri uanze maisha mapya kwani hata sasa ni hatari zaidi kuendelea kuwa nae huwezi jua huko anako rukaruka kakutana na virus HIV na mwisho hao watoto unaowapenda watakosa baba na mama pia na maisha yatakuwa mabaya kuliko wangekosa baba tu.
 
pole sana Binti Mmoja. Zingatia uhsuri uliotolewa hapa na wanawake wenzio some who have been there done that.

Go straight to court omba separation,omba upewe custody ya watoto pia omba upewe pesa kwa ajili ya up keep ya watoto. sio vibaya akipewa right of visitation lakini lazima awe anakuja kuwasalimia hapo kwako na sio kukutana kwinhine popote.

sio rahisi kama tunavyokushauri lakini piga moyo konde your doing it for the children, kama ni wakubwa kiasi say 5 years plus waambie kumetokea kutolewana na baba yao hivyo wewe utaishi nao na baba ataishi pekeake .

Be calm and strong kuwa karibu na watoto wako ila usijisononeshe mbele yao kwani utawanyima raha and may attract questions ambazo sometimes zitakukera na utaishia kuwajibu watoto vibaya.

Pray to God for His guidance, akupe busara, courage na afya njema wewe na watoto wako.
 
JAMANI NIMEPITIA THE SAME ROAD SAME SAME KABISA NA MIMI PIA NILISAFIRI NIKAKUTA HIVYO HIVYO, NA BAADAE AKAZAA NJE .bahati nilikuwa sijafunga naye ndoa ila nlikuwa na 2kids.

ushauri:
sikushauri kwasababu nilifanya hivi ila kwa uzito watatizo:
1.NINAAMINI KWAMBA KILA MTU ANA HAKI YAKUFURAHIA MAISHA MPAKA SIKU ANAPOITWA MBINGUNI'
2. NINATHAMANI KUBWA SANA NA NINAITAMBUA THAMANI YANGU BILAMTU YOYOTE KUNIAMBIA MIMI NI WATHAMANI NAMNA GANI
3.NINAAMINI MUNGU ALIPANGA NIISHI MAISHA FULANI AMBAYO KWAAKILI YANGU NILIWAHISHA MWENYEWE BILA KUMSHIRIKISHA MUNGU ,"KAMA MTOA MADA '
4.IBELIVE THAT -THE WILL OF GOD WILL NEVER
REMEMBER REMEMBER REMEMBER
The will of God will never take you -

Where the grace of God cannot keep you,

Where the arms of God cannot support you,

Where the riches of God cannot supply your needs,

Where the power of God cannot endow you.

The will of God will never take you -

Where the Spirit of God cannot work through you,

Where the wisdom of God cannot teach you,

Where the army of God cannot protect you,

Where the hands of God cannot mold you.

The will of God will never take you -

Where the love of God cannot enfold you,

Where the mercies of God cannot sustain you,

Where the peace of God cannot calm your fears,

Where the authority of God cannot overrule for you.

The will of God will never take you -

Where the comfort of God cannot dry your tears,

Where the Word of God cannot feed you,

Where the miracles of God cannot be done for you,

Where the omnipresence of God cannot find you.

ACHANA NA HUYU MTU ,MIMI NILIMPELEKA KWA WAZAZI,KWASABABU HATUKUWA NA NDOA HALALI ILIVUNJWA NA JAMII ILIYOKUWA INATUTAMBUA ,THEN BASI ,NA NILISIMMMA KAMA MAMA NA WATOTO WANGU MPAKA MUNGU AKANIPA RIGHT MAN TO LIVE WITH NATUMEFUNGA NDOA TUNAISHI KWA RAHA KABIS A,NAAMINI THE WILL OF GOD........
LAST SIKUSHAURI KUINGIA KWENYE MAHUSIANO MAPYA UKIACHANA NA HUYU BWANA,FOCUS KUWARISE WATOTO KIDS ARE WORTH IN THIS WORLD AM TELLING YOU THE TRUTH .RISE THEM UNTIL THE WILL OF GOD TO FUL FILL YOU NEEDS









Remember, Remember, Remember, Remember..The will of God will never take you
Where the grace of God cannot keep you,
Where the arms of God cannot support you,
Where the riches of God cannot supply your needs,
Where the power of God cannot endow you.
The will of God will never take you
Where the spirit of God cannot work through you,
Where the wisdom of God cannot teach you,
Where the army of God cannot protect you,
Where the hands of God cannot mold you.
The will of God will never take you
Where the love of God cannot enfold you,
Where the mercy of God cannot sustain you,
Where the peace of God cannot calm your fears,never take you
Where the grace of God cannot keep you,
Where the arms of God cannot support you,
Where the riches of God cannot supply your needs,
Where the power of God cannot endow you.
The will of God will never take you
Where the spirit of God cannot work through you,
Where the wisdom of God cannot teach you,
Where the army of God cannot protect you,
Where the hands of God cannot mold you.
The will of God will never take you
Where the love of God cannot enfold you,
Where the mercy of God cannot sustain you,
Where the peace of God cannot calm your fears,
Where the authority of God cannot overrule for you.
The will of God will nWhere the omnipresence of God cannot find you.

truuuue say buddy, its only God ndye Mume wa kweli...........
 
hii ndyo dunia bwana.. na malipo ni hapa hapa wala c akhera. huyo aliye zaa nae pia ni mwanamke kama wewe, na yy ni bnadam kama wewe.. move on mamaa pray for ur happness n your kids, evthng has reasons thats y vnatokea..huwezi jua umeepushwa na jambo gani. enda mahakaman follow the procedures MOVE ON!
aaaaaarrgh smtmz r.ships sux, m not married hadi nakuwa scared jmn.
 
Back
Top Bottom