Wadau naomba anayejua anisaidie. Redio ya gari langu kuna muda inatoa mlio mkali kama mluzi nalazimika kuizima. Tatizo ni nini? Kama vile kuna mwingiliano wa mawimbi au cjui nn.
Nenda kwa fundi anae funga mziki wa kwenye gari kuna kifaa atakuwekea kita maliza hiyo miluzi. Kina garimu T.shs, 15000. Anagalia Mmbwa wasiwe wanakufuata mkuu [emoji2][emoji2][emoji2]