Habari wakuu,
Gari ilimezngua MAF(Mass air flow sensor)imesafishwa lakini wapi bado inazngua.
Imewasha taa ya check engine,Fundi aki clear code gari inazima haiwaki nini tatizo wakuu error code ni hiyo Moja tu.
Kuna ilipulizwa tu kdg na upepo ilikuwa na vumbi
Wameweka nyingine lakini akichomeka tu machine kufuta error gari inashndwa kuwa idling inazima.
Napawaza kweli kwanza nataka ninunue mashine yangu kwa ajili ya kuwa nachungulia chungulia kila wakat nini kinaendelea mkuu kuliko tatizo likuwe.Karibu Berlin mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
Wakuu ahsanteni wote kwa positive ideas Gari imepona tayari fault imefutika tayari.
Mwanzoni sikupewa maelezo vizuri nilimuachia dogo gari kumbe alichochora mpaka waya wa Oxygen sensor ukakatika katika mitikisiko ukagusana na kupiga shoti. Mpaka kwenye control box.
Gari iko nzima no faults inayosoma nimehakikisha mwenyew pia Gari imerudisha nguvu yake iko safi kwa Sasa.
Ahsanteni wote.
Alikata wire wa oxygen sensor kwa ajili ya nini?Gari haikuwa na tatizo nilimuachia dogo kumbe alichochora kakata waya wa Oxygen sensor ukapga shoti ulivogusana Sasa mm nilifichwa nikaambiwa Gari nimeamka Lina miss balaah Yani.
Alivochochora gari ilinasa kwny vile vitofali vinavyowekwa pembeni ya barabara kwaiyo exhaust iliburuza pale ndo kisa Cha oxygen sensor waya kukatika wakati gari inatolewa.Alikata wire wa oxygen sensor kwa ajili ya nini?
Hahahhaha Berlin ni kipengeleKaribu Berlin mkuu πππ
Mkuu nimependa approach yako kwenye tatizo la jamaa.Hapo sawa kama ni hivyo...
Maana nilikuwa nashangaa maf sensor tu ndo shida iwe kubwa hivyo?
Ndo maana nikauliza kama hamna tatizo jingine.
Alivochochora gari ilinasa kwny vile vitofali vinavyowekwa pembeni ya barabara kwaiyo exhaust iliburuza pale ndo kisa Cha oxygen sensor waya kukatika wakati gari inatolewa.
Nilifichwa aisee kumbe mtu kapata ka ajali bahati nzuri nimejua ukweli.