Tatizo kwenye Toyota crown GRS 181 YOM 2005

Tatizo kwenye Toyota crown GRS 181 YOM 2005

Wakuu ahsanteni wote kwa positive ideas Gari imepona tayari fault imefutika tayari.

Mwanzoni sikupewa maelezo vizuri nilimuachia dogo gari kumbe alichochora mpaka waya wa Oxygen sensor ukakatika katika mitikisiko ukagusana na kupiga shoti. Mpaka kwenye control box.

Gari iko nzima no faults inayosoma nimehakikisha mwenyew pia Gari imerudisha nguvu yake iko safi kwa Sasa.
Ahsanteni wote.
 
Hapo sawa kama ni hivyo...

Maana nilikuwa nashangaa maf sensor tu ndo shida iwe kubwa hivyo?

Ndo maana nikauliza kama hamna tatizo jingine.
 
Hapo sawa kama ni hivyo...

Maana nilikuwa nashangaa maf sensor tu ndo shida iwe kubwa hivyo?

Ndo maana nikauliza kama hamna tatizo jingine.
Mkuu nimependa approach yako kwenye tatizo la jamaa.

It was like pattient vs doctor conversation na uzuri mgonjwa nae alikuwa spot on, kwenye kujieleza.

Kama tumefikia level hzi kwa automobile diagnosis, watu wanaweza kutamani kumiliki gari za ulaya.
 
Alivochochora gari ilinasa kwny vile vitofali vinavyowekwa pembeni ya barabara kwaiyo exhaust iliburuza pale ndo kisa Cha oxygen sensor waya kukatika wakati gari inatolewa.

Nilifichwa aisee kumbe mtu kapata ka ajali bahati nzuri nimejua ukweli.

Pole aiseeee....

PXL_20220119_135607672.NIGHT.jpg

Oxygen sensor namba mbili za Toyota Crown zimekaaga pabaya sana.
 
Back
Top Bottom