JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Mkuu nimependa approach yako kwenye tatizo la jamaa
It was like pattient vs doctor conversation na uzuri mgonjwa nae alikuwa spot on, kwenye kujieleza
Kama tumefikia level hzi kwa automobile diagnosis, watu wanaweza kutamani kumiliki gari za ulaya .
Sana Mkuu,Sasa ilikatika hapo katikati ndo balaa lilipoanziaPole aiseeee....
View attachment 2113357
Oxygen sensor namba mbili za Toyota Crown zimekaaga pabaya sana.
Kwani waya wa oxygen sensor unakuwa na umeme live?Wakuu ahsanteni wote kwa positive ideas Gari imepona tayari fault imefutika tayari.
Mwanzoni sikupewa maelezo vizuri nilimuachia dogo gari kumbe alichochora mpaka waya wa Oxygen sensor ukakatika katika mitikisiko ukagusana na kupiga shoti. Mpaka kwenye control box.
Gari iko nzima no faults inayosoma nimehakikisha mwenyew pia Gari imerudisha nguvu yake iko safi kwa Sasa.
Ahsanteni
Kwani waya wa oxygen sensor unakuwa na umeme live?
Najuaga sensors nyingi zinakuwa na signals tu
Exactly Mimi nilitamani kumjib mwamba pale lakini nilishndwa nipange vipi maelezo ili aweze kunielewa.Inategemea ni sensor gani?
Oxygen sensor inakuwa waya nne
1. Signal line ya sensor na Ground yake
1. Hear circuit 12V na ground yake
Hiyo heater circuit ni umeme wa battery. Hivyo ikiguza bodi shoti lazima.
Ndio kilichotokea kwa jamaa
Na hii ndo inatakiwaJitu miraba minne anafanya vizuri Sana upande wa umeme wa magari nimeanza kumfatilia mda mrefu Sana kwenye post.
Anaji update kila mda teknolojia inavobadilika ya magari ambayo mafundi wetu wengi hawafanyi hivo kbsa.
Big Sana mkuu tutazidi kuwasiliana tupeane madini zaidi.
Huyo anafanya Kazi kwa kutumia jina watu wanakuwa wabishi hawataki kubadilika kabisa kuendana na wakati.Na hii ndo inatakiwa
Nilipata tatizo la Abs , akaitwa fundi flani almaarufu sana , ebana maelezo aliyokuwa anatoa kuhusu hilo tatizo , nilihisi nipo kwa mganga wa kienyeji, na hakutatua tatizo
Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app
Achana na Berlin.. Njoo Munich..!Napawaza kweli kwanza nataka ninunue mashine yangu kwa ajili ya kuwa nachungulia chungulia kila wakat nini kinaendelea mkuu kuliko tatizo likuwe.
Maana naambiwa huko berlin umakini mkubwa unahitajika care ya kutosha tofauti na Yokohama.
Bavarian Motor WorksAchana na Berlin.. Njoo Munich..!
Note Crown ni TAXI huko Japan. So usizimbe sana ukaona umeyapatia maishaGari haikuwa na tatizo nilimuachia dogo kumbe alichochora kakata waya wa Oxygen sensor ukapga shoti ulivogusana Sasa mm nilifichwa nikaambiwa Gari nimeamka Lina miss balaah Yani.
Kwani yeye amekwambia ameyapatia maisha?
Crown ipo wapi hapo maana inaonekana Toyota Camry..hapo..🤣🤣🤣