Tatizo kwenye Toyota crown GRS 181 YOM 2005

Tatizo kwenye Toyota crown GRS 181 YOM 2005

Mkuu nimependa approach yako kwenye tatizo la jamaa
It was like pattient vs doctor conversation na uzuri mgonjwa nae alikuwa spot on, kwenye kujieleza
Kama tumefikia level hzi kwa automobile diagnosis, watu wanaweza kutamani kumiliki gari za ulaya .

Shukrani mkuu
 
Wakuu ahsanteni wote kwa positive ideas Gari imepona tayari fault imefutika tayari.

Mwanzoni sikupewa maelezo vizuri nilimuachia dogo gari kumbe alichochora mpaka waya wa Oxygen sensor ukakatika katika mitikisiko ukagusana na kupiga shoti. Mpaka kwenye control box.

Gari iko nzima no faults inayosoma nimehakikisha mwenyew pia Gari imerudisha nguvu yake iko safi kwa Sasa.
Ahsanteni
Kwani waya wa oxygen sensor unakuwa na umeme live?
Najuaga sensors nyingi zinakuwa na signals tu
 
Kwani waya wa oxygen sensor unakuwa na umeme live?
Najuaga sensors nyingi zinakuwa na signals tu

Inategemea ni sensor gani?

Oxygen sensor inakuwa waya nne

1. Signal line ya sensor na Ground yake

1. Heater circuit 12V na ground yake

Hiyo heater circuit ni umeme wa battery. Hivyo ikigusa bodi shoti lazima.

Ndio kilichotokea kwa jamaa
 
Jitu miraba minne anafanya vizuri Sana upande wa umeme wa magari nimeanza kumfatilia mda mrefu Sana kwenye post.

Anaji update kila mda teknolojia inavobadilika ya magari ambayo mafundi wetu wengi hawafanyi hivo kbsa.
Big Sana mkuu tutazidi kuwasiliana tupeane madini zaidi.
 
Inategemea ni sensor gani?

Oxygen sensor inakuwa waya nne

1. Signal line ya sensor na Ground yake

1. Hear circuit 12V na ground yake

Hiyo heater circuit ni umeme wa battery. Hivyo ikiguza bodi shoti lazima.

Ndio kilichotokea kwa jamaa
Exactly Mimi nilitamani kumjib mwamba pale lakini nilishndwa nipange vipi maelezo ili aweze kunielewa.
 
Jitu miraba minne anafanya vizuri Sana upande wa umeme wa magari nimeanza kumfatilia mda mrefu Sana kwenye post.

Anaji update kila mda teknolojia inavobadilika ya magari ambayo mafundi wetu wengi hawafanyi hivo kbsa.
Big Sana mkuu tutazidi kuwasiliana tupeane madini zaidi.
Na hii ndo inatakiwa
Nilipata tatizo la Abs , akaitwa fundi flani almaarufu sana , ebana maelezo aliyokuwa anatoa kuhusu hilo tatizo , nilihisi nipo kwa mganga wa kienyeji, na hakutatua tatizo

Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app
 
Huyo anafanya Kazi kwa kutumia jina watu wanakuwa wabishi hawataki kubadilika kabisa kuendana na wakati.

Kwa Mimi ninavoona unajua Gari za kisasa Kama mtu uko vizuri znajieleza vizuri matatizo yake.

Haihitaji ramli nyingi mkuu basi tu mafundi wetu Hawa hawasomi kbsa.
 
Napawaza kweli kwanza nataka ninunue mashine yangu kwa ajili ya kuwa nachungulia chungulia kila wakat nini kinaendelea mkuu kuliko tatizo likuwe.

Maana naambiwa huko berlin umakini mkubwa unahitajika care ya kutosha tofauti na Yokohama.
Achana na Berlin.. Njoo Munich..!
 
Gari haikuwa na tatizo nilimuachia dogo kumbe alichochora kakata waya wa Oxygen sensor ukapga shoti ulivogusana Sasa mm nilifichwa nikaambiwa Gari nimeamka Lina miss balaah Yani.
Note Crown ni TAXI huko Japan. So usizimbe sana ukaona umeyapatia maisha

images (1) (20).jpeg
 
Back
Top Bottom