Naomba msaada wa toyota nadia, inakunywa sana mafuta, inakuwa mzito kuondoka na kuchanganya na inachelewa kubadili gear, pia ukiweka gear ya kuondoka huwa kama inajikita kidogo na pia ukiipiga ress inawaka taa zote za kwenye dashboard...
Gari ilipata ajali na ikabadilishwa engine kutoka 1AZ na kuweka 3S
Gari ilipata ajali na ikabadilishwa engine kutoka 1AZ na kuweka 3S