Tatizo kwenye Toyota Nadia

Tatizo kwenye Toyota Nadia

lemky

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
80
Reaction score
31
Naomba msaada wa toyota nadia, inakunywa sana mafuta, inakuwa mzito kuondoka na kuchanganya na inachelewa kubadili gear, pia ukiweka gear ya kuondoka huwa kama inajikita kidogo na pia ukiipiga ress inawaka taa zote za kwenye dashboard...

Gari ilipata ajali na ikabadilishwa engine kutoka 1AZ na kuweka 3S
 
navyojua, 3s engine haina matatizo. kuna factors nyingi zinachangia kwa gari kuwa nzito kama issue ya gear box or umeme pia katika mifumo yote ya control box. issue ya kubugia mafuta, cheki plug zako pia. Angalia engine mounting zako hasa kwenye hilo tatizo la kujikita. Mkuu, tembelea mafundi wakusaidie
 
Ahsante sana mkuu kwa ushauri ...
 
Kwa hakika kabisa hiyo ni mfumo wa umeme.Natumia Nadia, na mimi pia nilibadili engine.
Lakini suala la kubugia mafuta hilo linatokana na Plug na vitu vingine.
 
ukiachana na plug ni nini kingine cha kiweza kukiangali ???
 
Kwa tatizo la kunywa mafut then inakuwa nzito kuchanganya n kubadili gear
Inamaana gari lako linatembelea gear ya aina moja kwa mwendo mrefu bila kubadili kwahiyo kachek gear box oil kam ipo safi kwanza
Kwa taa kuwaka chek System ya umeme
Sawa mku ahsante sana ....
 
Back
Top Bottom