Ahsante sana mkuu kwa ushauri ...navyojua, 3s engine haina matatizo. kuna factors nyingi zinachangia kwa gari kuwa nzito kama issue ya gear box or umeme pia katika mifumo yote ya control box. issue ya kubugia mafuta, cheki plug zako pia. Angalia engine mounting zako hasa kwenye hilo tatizo la kujikita. Mkuu, tembelea mafundi wakusaidie
ukiachana na plug ni nini kingine cha kiweza kukiangali ???Kwa hakika kabisa hiyo ni mfumo wa umeme.Natumia Nadia, na mimi pia nilibadili engine.
Lakini suala la kubugia mafuta hilo linatokana na Plug na vitu vingine.
Sawa mku ahsante sana ....Kwa tatizo la kunywa mafut then inakuwa nzito kuchanganya n kubadili gear
Inamaana gari lako linatembelea gear ya aina moja kwa mwendo mrefu bila kubadili kwahiyo kachek gear box oil kam ipo safi kwanza
Kwa taa kuwaka chek System ya umeme