Tatizo la AC kutoa harufu ya Petrol.

wegman

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
1,468
Reaction score
2,090
Wakuu kwema humu? Bila shaka jitihada za kupambana na maisha zinaendelea vizuri tukiwa tunasubiri kusherehekea sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya naomba niwatakie sikukuu njema mapema wakuu, Nirudi kwenye mada moja kwa moja ambayo ndio haswa imenileta niandike hapa jukwaani, Gari yangu Toyota Cami baada ya kupata mzinga mfumo wake wa AC sijui imekuaje ni kwamba sasa hivi ukiwasha AC inakuwa inapoza vizuri lakini tatizo moja ni kuwa inakuwa inatoa harufu ya petrol fulani hivi hapa tatizo linaweza kuwa ni nini? kabla ya kupata mzinga gari ilikuwa haina shida kama hii? Bila shaka humu tuna mafundi wengi naombeni munijuze tatizo linaweza kuwa ni nini.
 
Baada ya kupiga mzinga we ishushie na Supu itakata hiyo Harufu.
 
Mkuu inawezekana condessor ya gar yko ina petrol cha kufanya nenda car wash waioshe condesor
Pili kuna kitu kinaitwa Compressor. Hii compressor huwa inaweka oil(compressor Oil) hili kufanya lubrication kwenye compressor piston. Kwahyo unatakiwa kubadilisha hyo oil.
Tatu kuna kitu kinaitwa Air condtion filter. Hii uwa una fanya kaz ya kuchuja hewa kabla ya kuingia ndan. Kwahyo kama ililowana na petrol lazma tu ilete hyo harufu ndan. Badilisha hyo filter for better results
 
Pamoja sana presider kwa ushauri wa kitaalamu kabisa ngoja niufanyie kazi, kwahiyo condesor ile si inapigwa maji ya pressure kali yale.
 
Pamoja sana presider kwa ushauri wa kitaalamu kabisa ngoja niufanyie kazi, kwahiyo condesor ile si inapigwa maji ya pressure kali yale.
Lakn co pressure kali kaka. Kwan mara ya mwisho kuchange Ac Filter n lin...?
 
Mkuu. Mi pia taa ile ya ac (auto) haifanyi Kazi so nikiwasha ac inapuliza tu wala haiji off...ni nini tatizo??
 
Mkuu. Mi pia taa ile ya ac (auto) haifanyi Kazi so nikiwasha ac inapuliza tu wala haiji off...ni nini tatizo??
Tatzo lako n umeme hapo. Kuna uwezekano mkubwa sana Hyo switch ya Ac imekufa (Ac switch). Kwahyo fanya mpango ubadilishe switch. Bila kufanya hvyo italeta madhara kwenye compressor cz itakua inafanya kaz bla kupumzika mwsho wa cku itakuja kubast
Pili jaribu kusafisha njia zote za wire zinatoka kwenye compressor. Znaweza kua na carbon/Uchafu ambayo ikapelekea switch ikawa hai disconnet auto
3. Angalia Ac blower Resistor. Inaweza kua imekufanya ndio nyngne
 
Mara nying watu wa aina hii yako huwa na mafanikio.
 
Mkuu shukran kwa msaada unaotoa hapa, mi tatizo langu ni kwamba AC nikichange temperature zaidi ya 18 inatoa hewa ya joto! Yaani nikitaka baridi lazima iwe kwenye 18, tatizo laweza kuwa nini?
 
Mkuu shukran kwa msaada unaotoa hapa, mi tatizo langu ni kwamba AC nikichange temperature zaidi ya 18 inatoa hewa ya joto! Yaani nikitaka baridi lazima iwe kwenye 18, tatizo laweza kuwa nini?
Asante kaka kwa swal lako zur.
Kwenye Tatzo la lako mkuu unatakiwa ufanye haya hapa

1. Unatakiwa usafishe Condeser yko uoshe kwa maji ya pressure ndogo. Clean your condeser with low pressure washing Machine

2.Unatakiwa check/Uangalie kama Ac compressor clutch inafanya kaz vzur. Kama haifanyi kaz angalia Fuse ya compressor kama ipo sawa.

3. Check the Tension on the Belt of compressor. Kama Belt yko haipo Tight lazma tu compressor isifanya kaz vzur 2 na kusababisha joto ndan.

4. Find any coolant system leak. Angalia kama kuna leakege yoyote kwenye Ac System yko. Sababu kubwa ya Ac kutoa joto n refrigirant ikiwa kdogo(low refrigirant). Hii uwa inaandikwa kwenye Hood/Bonet n kias gan kinatkiwa kwenye compressor yko

5. Check Blower Motor resistor. Kwenye system yko inaonekana Resistor not engaging in high setting. Kwahyo unatakiwa ubadilishe hyo Resistor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…