Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi.
Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika.
Tatizo hili limekua ni mwiba kwa vijana wengi hapa nchini,lakini bado halijachukuliwa kwa ule uzito unatakiwa.
Vijana wengi wamejikuta kwenye dimbwi la tatizo hili kutokana na sababu nyingi ikiwemo;
Msongo wa mawazo
Kutokua na maisha ya kueleweka,Hali mbaya ya uchumi ambayo huchangiwa na kutokua na ajira au shughuli ya kukuingizia kipato Cha kutosha inaweza kupelekea kijana kupata msongo wa mawazo.
Uraibu wa madawa ya kulevya
Hii pia ni Moja wapo ya sababu zinazoweza kupelekea kijana kuypata tatizo la ugonjwa wa akili kwasababu ubongo na fikra zake tayari zinakua zimeshaathiriwa na madawa hi yo kuathiri mfumo wake mzima wa kufanya kazi na kufikiri pia.
Ukatili wa kijinsia:ubakaji,ulawiti
Matukio kama haya kijana anaweza akawa ameyapitia tangu akiwa mtoto lakini akashindwa ni namna gani ya kuripoti au kusema,hivyo matukio hayo yanakua yakiendelea kuwepo akilini siku Hadi siku,anajikuta Sasa anajua mkubwa akiwa na mambo mengi ambayo yanamshinda kuhimili na kupelea shida kwenye mfumo wa akili.
Hizo ni baadhi tu ya sababu zinazoweza kupelekea kijana kupata tatizo la afya ya akili.Lakini mbali na hayo tatizo hili linaweza kupelekea athari mbalimbali katika jamii na Taifa kwa ujumla
Kupotea kwa nguvu kazi
Hii ni athari kubwa ambayo ambayo Inatokana na tatizo la afya ya akili linalowakumba vijana.
Kwa mujibu wa World Health Organization (WHO)vijana kati ya umri wa miaka 19-29 hufariki kwa msongo wa mawazo.
Taifa linapoteza vijana ambao ndio wenye nguvu ya kuweza kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo zingeinua uchumi wa nchi na Pato la Taifa,
Kwenye ngazi ya familia,umaskini unazidi kuongezeka kwasababu vijana ambao ndio walikua wakitegemewa na familia zao wanafariki na wengine wanashindwa kuwa na ule umaskini katika kazi hivyo wanashindwa kupata kipato Cha kulisha familia zao na wanaowategemea.
Lakini haya yafuatayo yanaweza kusaidia kupunguza au kumalizia tatizo hili kwa vijana,
Kutoa elimu kuhusu afya ya akili,vijana wanaopaswa kufahamu yote yanayohusiana na afya ya akili,elimu itolewe kuanzia ngazi ya chini ili Kila kijana aweze kuelewa ni ni athari zake,chanzo chake na namna ya kuwa kuepukana na tatizo la akili.
Kutenga siku maalumu kwa wataalamu wa saikolojia kuweza kuwafikia vijana na kuzungumza nao,
Kuna wakati unahitaji kupata mtu wa kuzungumza nae tu ili uweze kuwa sawa,kwahyo kama wataalamu wetu wataweka utaratibu wa kuwa wanawa fikia vijana walipo na kuwasikiliza changamoto zao naamini kwa asilimia kadhaa tutaweza kupunguza vifo vya vijana vinavyotokana na tatizo la afya ya akili.
Kuwawezesha vijana kiuchumi,uwezeshwaji huu inaweza ukawa kupitia mikopo au vifaa kazi mfano mashine kama cherehani au mashine za kusaga na vifaa vingine ambavyo ambavyo vinatumuka katika kufanya kazi,hii itasaidia vijana wengi kuwa na kipato ambacho kitawasaidia kuendesha maisha Yao.
Ni kweli tunahitaji Tanzania yenye vijana imara,makini,na wenye akili ya kubuni mambo mbalimbali,kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo na kukuza Pato la Taifa.
Iko haja ya serikali kupitia wizara ya Afya na kwa kushirikana na wadau mbalimbali wa masuala ya Afya kuona kwa jicho la utofauto tatizo hili na kuweka mikakati mizuri itakayowasaidia vijana kutoka katika hii shida ili kuwa kutengeneneza vijana watakaoleta mabadiliko katika nchi yetu.

Upvote
3