Tatizo la Airtel Money

Tatizo la Airtel Money

jinga sana hawa watu leo nimeshindwa kununua vifurushi kabisa
Duh! Kumbe ni kwa wote. Huku Umasaini ndani-ndani huku huu mtandao ndo tegemeo letu lakini Dah! Leo unazingua kwelkweli. Inakuletea mara External Application down, mara Request not complete (STOP)......... Oiyeyai, nimeshindwa kununua Luku kabisa nitalala giza leo.
 
Pole sana!!!
 
Hata voda wanasumbua mimi wiki nzima nashindwa kufanya muamala wowote,sio kutuma bank wala kumtumia mtu yaani muamala unakuwa canceled automatic sijui tatizo nini!
 
Kuna hizi message wanakuletea juu ya screen ya simu, unaweza ukawa uko katikati ya intèrview wanatuma Hilo limeseji, mpaka ucancel au usave ndo litaondoka hapo juu. Loh
 
Hapo hawajakutumia sms kwamba bando lako limeisha au ni chini ya 50MB wakati bado una mb za kutosha. Au hujaweka vocha ya buku ukijiunga unaambiwa salio lako halitoshi, unabaki unapanik ukicheki salio unakuta 999, shilingi 1 washatembea nayo!
 
Back
Top Bottom