Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ana kazi ya kukaa on-line! Ahahahahaha!!!Wewe kila saa uko online. ...ni kazi ndio hunaga ama
Duh! Kumbe ni kwa wote. Huku Umasaini ndani-ndani huku huu mtandao ndo tegemeo letu lakini Dah! Leo unazingua kwelkweli. Inakuletea mara External Application down, mara Request not complete (STOP)......... Oiyeyai, nimeshindwa kununua Luku kabisa nitalala giza leo.jinga sana hawa watu leo nimeshindwa kununua vifurushi kabisa
Hey! Hii mitandao kama yote kumbe hawana nia njema kwetu sisi wa "Nirushie kitu kidogo aisee nami niweze sherehekea....." π±Sio airtel money tuuu....ata Tigo pesa na halopesa nao wanasumbua
Pole sana!!!Duh! Kumbe ni kwa wote. Huku Umasaini ndani-ndani huku huu mtandao ndo tegemeo letu lakini Dah! Leo unazingua kwelkweli. Inakuletea mara External Application down, mara Request not complete (STOP)......... Oiyeyai, nimeshindwa kununua Luku kabisa nitalala giza leo.
Wanakera sana bora hata wangetoa taarifa ili tujiandae kukosa huduma kwa muda.Na walivyo wapuuzi hata hawatoi taarifa rasmi.π€¨
Ashee papa lai.Pole sana!!!
Hongera sijawahi kukosa online aiseeππ nafanya kazi mtandao. So usishtuke kuniona kila dk online
Hata sasa nimo. ππββοΈHongera sijawahi kukosa online aisee
Ahsante nashukuru ,naomba kuunga mkono hojaπHata sasa nimo. ππββοΈ
wenyewe wanasema hami airtel. ila hao jamaa ni chenga sanaHabari wakuu!
Kwa wale wanaotumia Airtel, hili tatizo la Airtel Money na kwenu lipo???
Sio kwenye app tu...hata kwa menu ya kawaida kuna error π¬π¬
View attachment 2594171