K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Jul 14, 2021 #21 Extrovert said: Serikali hii hii ya Mbogamboga iwafanyie hayo? Iache kuwakamua sh.100/100 zenu kwenye simu Click to expand... Wakiamua wanaweza,maana kama 100,Inakatwa kwa uzalendo na watu ndio sisi hata yenyeye ione haya yanayoendelea South Africa.
Extrovert said: Serikali hii hii ya Mbogamboga iwafanyie hayo? Iache kuwakamua sh.100/100 zenu kwenye simu Click to expand... Wakiamua wanaweza,maana kama 100,Inakatwa kwa uzalendo na watu ndio sisi hata yenyeye ione haya yanayoendelea South Africa.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Jul 14, 2021 #22 Oswald Daudi Mwakibete said: Wakiamua wanaweza,maana kama 100,Inakatwa kwa uzalendo na watu ndio sisi hata yenyeye ione haya yanayoendelea South Africa. Click to expand... Haiwezi kuona sababu haina watu wenye maono hayo! Kama waziri wa fedha anazunguka na neno moja kwenye Solidarity tax bila kuongea point ya maana hamna kitu!
Oswald Daudi Mwakibete said: Wakiamua wanaweza,maana kama 100,Inakatwa kwa uzalendo na watu ndio sisi hata yenyeye ione haya yanayoendelea South Africa. Click to expand... Haiwezi kuona sababu haina watu wenye maono hayo! Kama waziri wa fedha anazunguka na neno moja kwenye Solidarity tax bila kuongea point ya maana hamna kitu!