Tatizo la amoeba na vidonda vya tumbo

Tatizo la amoeba na vidonda vya tumbo

kennedy666

New Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
4
Reaction score
3
Habari zenu jf,,nilikuwa naomba msaada wa tiba wa haya magonjwa maana yananisumbua mwaka wa pili sasa nimeshatumia dawa za hospital na za kienyeji lakini bado
 
Habari zenu jf,,nilikuwa naomba msaada wa tiba wa haya magonjwa maana yananisumbua mwaka wa pili sasa nimeshatumia dawa za hospital na za kienyeji lakini bado
Samahan mkuu ,uliwahi kupima ?
 
Vyote hivyo vina Tiba Mkuu,Jilipue uende Hosptal zinazoeleweka utapona hayo magonjwa......Usiende hosptal za chochoroni.
 
Back
Top Bottom