Tatizo la bega kufyatuka

Tatizo la bega kufyatuka

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Mkono haujateguka wala haujavunjika, ila ukiunyanyua kuna kama nyama zinachanika, na mara moja moja huwa unafyatuka kabisa. maumivu ni makali sana. msaada jameni!
 
Hosp nimeshakwenda sana baada xray huwa napewa vidonge vya MUVERA
 
hospitali almost imeshindikana. picha za eksirei hazioneshi tatizo.
 
Back
Top Bottom