Tatizo la bei za vocha latua TCRA

Tatizo la bei za vocha latua TCRA

Nkarahacha

Member
Joined
Oct 3, 2023
Posts
17
Reaction score
38
Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu.

Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu

FB_IMG_1716805345058.jpg
 
Tuangalie kwa jicho la biashara vocha za elfu 10,zikiuzwa zote faida ni shilingi 40🤣🤣🤣

Haitakiwi hata umkopeshe mtu utakuwa umekula mtaji.
 
Back
Top Bottom