Nkarahacha Member Joined Oct 3, 2023 Posts 17 Reaction score 38 May 27, 2024 #1 Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu. Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu. Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,097 Reaction score 17,929 May 27, 2024 #2 Tuma salamu kwa watu wa 3
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 27, 2024 #3 jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,052 Reaction score 2,866 May 27, 2024 #4 Erythrocyte said: jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500 Click to expand... Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc
Erythrocyte said: jana nimenunua vocha imeandikwa elfu 5000 ila nimeambiwa nilipe 5500 Click to expand... Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 May 27, 2024 #5 Mvinyo mpya said: Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc Click to expand... Kwa vile nishajua nitafanya hivyo
Mvinyo mpya said: Weka 5000 yako kwenye mpesa, etc Click to expand... Kwa vile nishajua nitafanya hivyo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 May 27, 2024 #6 Tuangalie kwa jicho la biashara vocha za elfu 10,zikiuzwa zote faida ni shilingi 40🤣🤣🤣 Haitakiwi hata umkopeshe mtu utakuwa umekula mtaji.
Tuangalie kwa jicho la biashara vocha za elfu 10,zikiuzwa zote faida ni shilingi 40🤣🤣🤣 Haitakiwi hata umkopeshe mtu utakuwa umekula mtaji.